Boompesa Ni kero

Boompesa Ni kero

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,250
Reaction score
2,036
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hawa jamaa wamekuwa kero kubwa kwangu, sina furaha na simu yangu yani kutwa ni SMS zao na nyie TCRA sijui hamuoni malalamiko yetu? mwenye uwezo awafikishie wahusika am tired
 
Kama uliwahi kucheza biko tatu mzuka jiandae kujaziwa mineseji hiyo. Usilalamike sana
 
Wablock...... Block iyo number ili ikitume sms zao isikufikie
 
Back
Top Bottom