Askari magereza wa Butimba Mwanza aponea chupuchupu kunyooshwa

Mkuu si utulie uandike vizuri uzi wako watu tuelewe. Yaani ulivyoandika kana kwamba kila mtu aliyemo humu anajua kilichotokea huko Butimba ni nini. JF kuna waliopo nchini na wasiopo nchini, wanaofuatilia yanayoendelea kwenye vyombo vingine na tunaotegemea kupata habari zote za yanayoendelea nchini kupitia hapa, so unapoandika uzi wako jaribu kukidhi matakwa ya makundi yote hayo kiongozi.
 
Hapo aliekua anatia huruna ni jiwe maana jamaa kila akiulizwa yumo tena kwa kujiamini hadi jiwe akakosa cha kusema akawa anarudia rudia kitu kile kile ila kitu kimoja ni kwamba huyu jiwe hapendi mtu mwenye confidence sababu yeye mwenyewe hajiamini
 
Back
Top Bottom