Jana jumapili kuna sehemu ilikuwa inafanyika hii misa ambapo wanajenga vituo ambapo hiyo ekaristi takatifu inazungushwa na kupigiwa magoti, kwa waliowahi kuiona bila shaka watakuwa wananielewa...
Kutembea kwa miguu ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia zinazogusa maisha ya kila siku ya mamilioni ya Watanzania. Watanzania wengi wa rika zote hutembea kwa sehemu kubwa kutoka sehemu moja...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu...
Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu...
Habari zenu wanajukwaa,!?
Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF, ambapo wengi wetu hujifunza na kuburudika...
Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka!
Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu..
Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu...
Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira...
Huu ni mjadala huru :
Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Albert Msando, ameongoza ziara maalum ya viongozi wa Manispaa ya Ubungo katika chanzo cha uzalishaji maji Ruvu Juu kwa lengo la kujionea hali ya uzalishaji na...
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji
RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema...
What could be her motive?
Ametukumbusha machungu ya Shauri Tanga pa moja na machungu ya wanafunzi wa Rugambwa Secondary Form 6 leaver waliopoteza maisha kwenye MV Bukoba wakiwa wanatoka kufanya...
Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu.
Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo...
Mjukuu wangu ananijuza, babu kuliko kuweka fedha bank na kununua hisa, Kwanini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu?
Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza. Kwa hiyo na mimi nawaulizeni ninyi...
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Chomete, amesema licha ya miongozo ya serikali kuwataka wananchi wa vijijini kulipa kiasi cha shilingi 27,000 tu kwa ajiliya kufungiwa umeme, hali ni...