Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa. Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na...
1 Reactions
3 Replies
172 Views
Heshima kwenu, Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi. Kuna 5M NSSF...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Udhaifu Katika Usimamizi wa Sekta ya Usafiri wa Anga Tume ya Ulaya (European Commission - EC) imeeleza kuwa sababu kuu ya marufuku hiyo ni mapungufu makubwa katika mifumo ya usimamizi wa usalama...
2 Reactions
5 Replies
646 Views
Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya ametoa hoja kuhusu Watumishi wa Halmashauri, alitoa maoni hayo Juni 3, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Bongo FM. Mahojiano yao kwa...
3 Reactions
2 Replies
243 Views
Naam vijana wetu na watoto wetu pia wajukuu huamua kufunga safari na kwenda nchi za mbali katika kujitafutia riziki, Wengi huenda kwa njia ya kupata Elimu na baadae huamua kufanya kazi,,,wengine...
1 Reactions
11 Replies
208 Views
https://www.facebook.com/share/v/1HJxJMzib2/
0 Reactions
14 Replies
218 Views
Ndg zangu tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m, wakishakusajili unaweza angalia balance vizuri. Baada ya week moja ukitaka kuangalia salio hupati majibu. Hapo ni either uwapigie customer...
1 Reactions
7 Replies
309 Views
Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu. Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa...
7 Reactions
20 Replies
412 Views
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani? Iko hivi, juzi umeme kwangu...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Kumekuwa na trend ya watu tunaoweza kusema ni content creators ambao wapo nje ya nchi wanatoa post/content mbali mbali kuhusiana na maisha ya ughaibuni. Wengi wanazungumza umuhimu wa kujaribu...
5 Reactions
30 Replies
567 Views
Kuna picha nyingi hivi sasa kwenye social media wamama na wadada wakifanya hivi 👇 je mnamaanisha nini?
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Ningeteneza uwanja Mzuri wa kimataifa wa ndege kuliko wa pale DXB. Ningeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama...
2 Reactions
11 Replies
207 Views
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo. Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Makombora 30+ ya irgc hakuna lolote lilimdhuru mtu. Ila ya Israel yameondoka na kiwannda na gaidi wao mmoja. Tulieni bado mnapikwa!
3 Reactions
14 Replies
307 Views
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Anonymous
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba ofisi hiyo inaonekana kujipangia muda wake wa kutoa huduma tofauti na muda rasmi wa kazi serikalini. Mara nyingi ukienda kuomba huduma baada ya...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Anonymous
Wanannchi tunaoishi Moshono, Arusha, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri, hususan nyakati za asubuhi tunapoelekea makazini. Kwa muda mrefu, bajaji zilikuwa msaada mkubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous
Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Saiv npo msiban wa msela wangu aliyetuacha.Na kesho ndoh tumepanga kumpunzisha. saiv nasikiliza tu huku parapanda.Huku tukiendelea na uchimbaji...
0 Reactions
4 Replies
109 Views
Jana jumapili kuna sehemu ilikuwa inafanyika hii misa ambapo wanajenga vituo ambapo hiyo ekaristi takatifu inazungushwa na kupigiwa magoti, kwa waliowahi kuiona bila shaka watakuwa wananielewa...
4 Reactions
46 Replies
478 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…