Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakubwa kama kawaida yao wapemba ustaarabu bado upo na utaendelea kuwepo kama kawaida yao. Leo nimepata kisafari kidogo kwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki nikiwa pamoja na wife ghafla...
3 Reactions
1 Replies
730 Views
Wasalaaam!!. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Niwape pole Ndugu wa marehemu askari waliouawa barabara ya Kusini(Lindi, Mtwara). Kiukweli kabisa tukio la kuuawa askari limeniumiza sana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa, baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita juzi walikataa kupokea msaada wa vyakula na sabuni kama zawadi ya sikukuu ya Pasaka...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupata eneo la biashara au la kufungua maofisi kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Hii ni kutokana na mji kuwa na eneo finyu sana katikati. Ingependeza sana kuona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu. Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mi hii ya Martin Luther king Jr "We have learned to fly like bird's, we have learned to swim like fish, but we failed to walk as brother's and sisters" "Find voice in a whispers" Vipi wewe zako ni...
0 Reactions
6 Replies
873 Views
Huu uzi ni maalumu kwa wale waliotoka mikoa mingine na kwenda Dar bila kuwa na kazi maalum. Unakuta mtu hana elimu yeyote, hana kipaji hana kazi anadandia gari anajikuta dar. Anaanza kukomaa ili...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hellow, Mambo vp, Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Zenyu Waungwana, Kuna Ujenzi Unaendelea Wa Barabara Za Ndani Ktk Eneo La Makumbusho Kurahisisha Uingiaji Wa Mabasi Kwenye Kituo Cha Makumbusho Ni Jambo Jema, Ila Kabla Hawajafika Mbali Na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Heri ya pasaka. Nikiwa nimepumzika Jana jioni hapa mitaa ya Mwenge nimeguswa bega na kijana wa Kimasai na kunijuza kuwa anauza dawa za kuongeza ngufu. Mimi nikamuuliza nguvu ipi...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Jana ktk mechi ya Toto Africans Vs Simba Sport Club, TFF waliuza ticket za mechi ya zamani ya Yanga Sports Club VS Simba Sports Club. Mm nilipo kabidhiwa yangu ilinibidi nishangae kidogo. Make...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Nina umri wa miaka 36,kutokana na tekateka nataka nijifunze karate,kabla sijamtafuta sensei je ni mazoezi gani nifanye ili yakanisaidie kurusha kick(geri),mateke..msamba unanishinda nmekomaa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwigulu Polisi walitegemea kuskia hayo kutoka kwako na kwa namna hii umeongeza morali kwa askali wetu...... watanzania tumekuelewa, wizara yako imeskia, jeshi la polisi limefurahi - IGP ni...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
  • Redirect
Kutoka Bukombe!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu wajuao naitaji kujua nn maana ya pasaka mnisaidie
0 Reactions
Replies
Views
Habari za mchana waungwana. Leo nimeona bora niwape somo au dawa ya asili kwa wale ambao wanapata shida wakati wa kujifungua, hakuna haja ya kwenda kufanyiwa operation pindi endapo unaona tatizo...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
hata sijui munaogopa nini? kufa au kutekwa, yesu hakuogopa mwanadamu. mnalakujifunza hapa
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Kama angehudhuria tungezidi kupata majonzi, maumivu na simanzi. Kauli zake ni sumu hata kwenye msiba. Mungu mkubwa hakuhudhuria.
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom