Tuwekeeni sehemu ya kuhariri(edit)

k-bee

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
907
991
JF ni jumba linalokutanisha vijana,wazee na hata wanasiasa kama member wa muda mrefu tunaomba kufanyiwa marekebisho kwa mtumaji ili aweze kuhariri(edit) kazi yake anapotuma kimakosa ama kukosea jambo aliloliandika...Nawasilisha@jfmoderay
 
Itakuwa wewe ni mtoro sana humu.

Mbona una uwezo wa kuhariri bandiko lako isipokuwa (headline).
 
Highlight bandiko lako au bonyeza comment yako na iweke kivuli. Utaona juu upande wa kulia mwa simu yako kuna alama ya X ya Spana. Bonyeza hapo utakutana na EDIT / DELETE.

Screenshot_20190902-181953.jpeg
Screenshot_20190902-182012.jpeg
 
Mi nashauri wangetupa access ya kubadilisha majina yetu.
 
Back
Top Bottom