Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

wadau wa jf hamjambo, nimefanya HIV testing mda huu, bahati nzuri matokeo niko -ve ahsante Mungu. hili ni fundisho la kuachana na mademu wengi na kuwa nae mmoja tu ili kupunguza hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Abiria zaidi ya 50 waliokuwa wakitokea jijini Arusha kuelekea Morogoro wamenusurika kufa na baadhi yao kujeruhiwa akiwemo Dereva, baada ya basi la Abood waliokuwa wakisafiria kuligonga gari...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Nawaomben kunijulisha hotel au guest yenye kiwango kizuri maeneo ya ilala bungoni au magomeni. Napenda ziwe na heshima na utulivu atleast wa 80%. Contacts zao nikizipata itakua na ladha zaid. Asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kuna kale kajingle fulani ccm wanakatumia kwenye mikutano yao kanaimba hivi magufuli woyooooooooo mimi nakahitaji wakuu naomba msaada mnipatie wenye nacho
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Wanafunzi 26 wa kidato cha IV mkoani Simiyu hawajui kusoma wala kuandika . Hii imekaaje wadau, maana naona kama ni mazingaombwe kuamini kuwa mtu anaweza fika kidato cha nne (form IV) bila ya...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
  • Redirect
Leo nimesoma kutoka gazeti la Citizen kuwa Hoteli ya Slim iliyopo Bagamoyo ya Ndugu Slim karibuni itapigwa mnada na Exim Bank. Inasemekana kuwa tamani ya Hoteli hiyo kwa sasa ni 5bn/= lakini...
2 Reactions
Replies
Views
Hivi channel ten ...kabla ya kusoma habari...mnatathimini mavazi yenu.... unajua mavazi yanabeba thamani kubwa ya kile unachokitangaza... sasa leo huyo dada aliyekuwa anasoma habari za...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nidhamu ikizidi inakuwa Uoga. Na uoga ni sumu katika maisha ya binadamu yeyote. Kuna kitu katika sakata hili la North Korea na America, linapaswa kuwa funzo katika dunia hii ya leo.... ...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za midaa hii wana Jamvini. Straight to the point. Nmekua nikipokea ujumbe mfupi toka kwa mtanadao wangu husika kuhusu kukamilisha usajili. Licha ya jumbe zote hizo bado nmekua na uwezo wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Redirect
Nichukue fursa hii kumpongeza Rais wetu kwa uamuzi wa kuajiri madaktari wote 258 waliokidhi vigezo. Napongeza uamuzi huo kwa kuwa umetuletea heshima kama taifa. Madhara ya kwenda Kenya wakati...
1 Reactions
Replies
Views
Mtu mmoja amefariki leo asubuhi baada ya kutokea ajali ya daladala na treni ya Pugu saa 11 leo alfajr makutano ya Nkrumah. Majeruhi wako 23. Polisi Reli wanasema majeruhi wako 23 , Amana 8 na 15...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
  • Redirect
Kumekuwa na mijadala mingi, kuhusu vipaumbele vya nchi, hii imezuka baada ya kuona miradi mingi, ya kiasi kikubwa cha fedha kama madaraja (flyovers) reli (sgr) juzi ufunguzi wa hostel za chuo...
0 Reactions
Replies
Views
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki vibali vya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
habari wadau Hapa kidogo nimetatizika na hii sheria mahakama inamuachia huru mshitakiwa halafu polisi nao wanamkamata hebu naomba kidogo ufafanuzi hapo na si faida yangu na faida kwa wengi...
2 Reactions
7 Replies
922 Views
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
5 Reactions
143 Replies
15K Views
Nimeona documentary hawa samaki wana kula hadi coral reaf na wanazaliana sana na kuna ambao hadi wanapaa, kuna uwezekano waka teketeza dunia, mwenye kujua vizuri kuhusu hili atupe elimu, kitu kina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Kitendo cha wasanii wa bongo movie wakiongozwa na mkuu wa mkoa kuandamana kariakoo kwa kinachoelezwa kupingwa uingizwaji wa filamu za nchi za nje nchini ni Mwendelezo wa kipaji chao cha maigizo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MADAKTARI 269 WALIOKUWA WAENDE KENYA WAULA NCHINI, sasa badala ya kwenda Kenya kula nchini JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom