Bisha unase... komaa upate... Ni utamu

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,105
Majani ya leo sio mchezo mpaka sasa nimebanjuka vijiti vinne kutoka kwa Bro Marley ndugu yake Mchomvu A town.

Bisha unase na komaa upate Utamuu ku kisogoni... aiii wee nahisi rahaa Mtoto wa karne hii jasho muhimu la sivyo mfereji wa Swezi utapitiwa na Mabaharia.

Nisi wachoshe nisijichoshe maana nina Mambo mengi sabuni ina nisubiri bafuni, homa ya Ini HIV naogopa kuharibu future.

Back kwenye Point haaahaa usishtuke ndugu Maisha kioo cheka ujichekeshe kuria ni hisia binafsi.

Chako ni chako na changu ni changu ila wale wa Corner bar na Badoo sio Mambo yangu umesikia hiyo!!?

Ebwana swala ni ili Awamu ya Tano ina weka mazingira sawa, je unajipangaje ndugu?

Maana kama una Umri wa Miaka 26 mpaka 35 ukitoka kapa awamu hii ya Tano ujue nakuitaji uje kuwa mlinzi wakati nakata unoo kwa Shemeji yako au uje uzungushe uno kipindi napata Nyagi na karanga Bar.

Mweeee mweee hii kitu ya leo Bob angeichoma angepewa utukufu Mawinguni na Gove kuruhusu mapema.

Jumapili njema Waungwana tusisahau kufikiria namna ya kesho kuwajibika vijana ni Rasilimali ya Taifa.

KAZI NDIO UTU WA MTU.




1568550988156.jpeg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom