Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tajiri mdogo mwenye pesa nyingi Chief godlove kapata mpinzani. Mpinzani huyo moonster Billionare anakuja kasi sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kuanika na kuweka hadharani pesa na utajiri wake...
6 Reactions
33 Replies
737 Views
  • Redirect
Habari za muda wana jf Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe. Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Dawa anatumia za presha alizopewa hospital, za kumeza kila siku. Akapewa na hemavit kwa ajiri ya kuongeza damu,lakini naona hali iko palepale, kichwa kinamuuma,mapaja yanauma,na nguvu hana,na...
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610...
8 Reactions
153 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotafsiriwa kama ushahidi wa namna...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi? Please clarify!
12 Reactions
73 Replies
7K Views
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni...
4 Reactions
10 Replies
634 Views
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Hawa ndugu zangu, wasukuma wanazaliana sana hadi wanatia wasiwasi kwa miaka ijayo. Inahitajika affirmative action ya uzazi wa mpango dhidi yao. Unakuta familia moja watoto 15, kama wa kiume ni 10...
20 Reactions
434 Replies
26K Views
Mimi si mpenzi wa siasa,lakini naweza kusema ni mpenzi wa kulinganisha mambo hasa uchumi. Jiji la Adis ababa limetoka kutoka jiji la kawaida kuwa jiji lenye hadhi ya juu ya kimataifa ndani ya...
4 Reactions
6 Replies
174 Views
Tumezoea kusikia " "pigania unachotaka." Maneno mazuri lakini kuna ukweli ambao hatuambiwi: Si kila vita ni yako, na si kila kitu kinahitaji kulazimishwa ili kiwe chako. 1. Kilicho chako hakina...
2 Reactions
2 Replies
110 Views
Mkurugenzi pole kwa uchovu wa kazi, najikita moja kwa moja kwenye hoja, mkurugenzi nimeamua kukuandikia barua hii ya wazi nikikupa taarifa kuhusu utiririshaji wa maji machafu ya chooni yanayotoka...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
https://www.youtube.com/watch?v=3yL5mvUML-I Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi na Mkuu wa Kanda ya Kusini TANAPA, Godwell Ole Meing'ataki anaelezea kuhusu GREAT RUAHA MARATHON ambayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Mzunguko wa pesa umekuwa mkubwa sana... Vinyozi wanafunga hesabu 60k daily magari, pikipiki na bajaji yamefurika sana mafundi garage wanaziokota Watu wanajenga kwa speed, mafundi ujenzi...
6 Reactions
15 Replies
282 Views
  • Redirect
πŸ“ŒRasilimali zote zilielekezwa zihakikishe inamalizika. πŸ“ŒMwigulu adokeza ilibidi kasi baadhi miradi ipungue. πŸ“ŒUpepo wabadilishwa, sasa ni barabara, maji, umeme.
0 Reactions
– Replies
– Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu...
7 Reactions
21 Replies
451 Views
Kuna mambo hapa Afrika ndio pekee kufichwa sana au kupoteza ushaidi. Ndio maana Afrika ni ngumu kupata ushahidi wa makaratasi. Mfano October 29, 2025 inatosha kusema ushahidi unafutwa kwa nguvu...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Kila mtu ana dhahabu maishani mwake inaweza kuwa kipaji, biashara, ndoa, kazi, au ata rafiki lakini dhahabu nyingi haziji zikiwa zinang'aa. Dhahabu asili huchimbwa ikiwa imefunikwa na tope...
2 Reactions
7 Replies
203 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…