EWE MZAZI MKANYE GENERATION "Z" WAKO ASIJIHUSISHE NA MAANDAMANO AMBAYO YANAPAGWA NA WANAHARAKATI UCHWARA KUFANYIKA TAREHE 7 JULY, 2026 AMBAYO HAYATAMBULIKI KISHERIA✍️
👉Ewe Mzazi, kama...
Mimi ambaye nipo kwenye utumishi wa umma mwaka wa 11 sasa ndani ya ofisi 3 tofauti za serikali inatosha kuitwa mkomavu.
WAFANYAKAZI wengi wa umma wanakwenda kazini aidha kupiga deal tu na wengine...
Nimeona taarifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwenye ukurasa wao wa Instagram kuwa eti kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 kiasi cha Shilingi Milioni 420 zilipelekwa katika Kata 14 na kila moja...
Huyu mama alisimama juu ya Kelvin na kulikemea kundi kubwa la wananchi wenye hasira kali ambalo lilitaka kumuua na kumchoma moto huku pikipiki moja ikiwa imechomwa moto.
Mama kwa uchungu na sauti...
Je, Marekani na Irani zikifikia Makubaliano yao ya kusitisha Mapigano Siku ya Ijumaa tarehe 19 Juni, 2026 na rasmi kuruhusu Meli zote kupita Mlango Bahari wa Hormuz ndiyo kusema na hii Bei kubwa...
Office za NIDA Wilaya ya Bagamoyo kilaa siku hakuna mtandao tunakaa kuanzia Asubuhi mpaka muda wa kuondoka wanasema hakuna mtandao.
Weeek ya pili sasa...! Tunafuatilia kitambulisho cha NIDA kila...
Sisi wakazi wa Buswelu Nyamadoke, eneo la Ibinza Msikiti wa Chini, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, tunaomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kutufikishia mtandao wa mabomba ya maji ili nasi...
TOFAUTI KATI YA KUNUNUA MALI NA KUNUNUA MADENI
Watu wengi huamini kwamba kila wanachonunua ni mali, lakini ukweli ni kwamba si kila kitu unachomiliki ni mali.
Baadhi ya vitu huingiza fedha...
Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?
Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu...
Abiria wa usafiri wa DART (Mwendokasi) kutoka Posta ya Zamani kuelekea Mbagala, tunaomba kero yetu isikike.
Kumekuwa na upungufu mkubwa wa mabasi hasa nyakati za asubuhi na jioni, hali...
Binti mrembo nchini mwenye uzuri wa aina yake wa sura na umbo which make heads turn and pulses racing Valentina Gabriel almaarufu Vale Nafaka kaumia mguu wa kushoto na anatembea kwa kuchechemea...
Habari,
Mimi ni mfamasia, na moja ya mambo yanayonikera na kunifanya nitafakari ni namna Baraza la Famasi linavyoweka gharama nyingi ambazo kwa mtazamo wangu ni mzigo mkubwa kwa wataalamu wa...
Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata...
salaam,
Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.
Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa...
Kwa kuwa serikali imeshindwa kuondoa au kupunguza foleni ya hii barabara ya Mandela niwaombe Tu watanzania wenzangu kama hauna sababu ya msingi kupitia barabara hii achana nayo kabisaa.
Ushauri...
Denice Deusdedit Nsimeki, kijana wa Kitanzania aliyekwenda kusoma tangu mwaka 2021 amekujikuta akishindwa kuendelea na masomo yake baada ya kujiingiza kwenye biashara ya madini na matokeo yake...
Natumai huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu huku mkinzigatia nature na life la kiturist.
Moja kwa moja kwenye mada, Inawezekanaje Leseni ya Udereva ya Tanzania inayotambulika na SADC...
Wananchi wa Missenyi, Bunazi Mkoani Kagera tuna vibaka wanavunja na kuiba majumbani muda tukiwa makazini, hasa sisi Ajira Mpya. Hata kama upo kazini mchana, wanaenda kuvunja na kuiba.
Bunazi ipo...
Kuna mambo ukitazama kiumbari kama sinema zetu.
Ukifatilia mkuu wa mkoa watabora na matukio ya Tabora ambayo anawaita wanahabari na matukio yaliyopo kwake.
Unaweza kusema Tabora ndio sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.