Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapo suluhisho ni kuongeza hela uwekewe kipimo utakachoshiba. Pesa zitafutwe wakuu Mliozaliwa mwaka 1996 bado siku 3 tu kuna jambo litawakuta
18 Reactions
31 Replies
540 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026, itakuwa siku ya mapumziko ili kusherehekea mwaka mpya wa Kiislamu, 1448 Hijiria. ====================== Rais wa...
5 Reactions
49 Replies
944 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
7 Replies
256 Views
Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako...
8 Reactions
22 Replies
326 Views
Historia inairejesha nyuma Afrika, mnamo tarehe 16 Juni 1976, ambapo maelfu ya watoto katika nchi ya Afrika Kusini walikusanyika katika mji wa Soweto kwa ajili ya maandamano yenye malengo ya kudai...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Mafuta (EPRA) imetoa kanuni mpya zinazoruhusu wazalishaji wa umeme kuuza nishati hiyo moja kwa moja kwa watumiaji wakubwa, bila kupitia kwa msambazaji wa kitaifa...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
Kuna tozo zinazodaiwa kuwa ni za usafi wa mazingira, ambapo kiwango cha malipo kinatofautiana kulingana na aina ya biashara. Hata hivyo, wanaokusanya tozo hizi hudai ni kwa ajili ya usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Anonymous
Jamii Forums naomba msaada kwenu. Nipo kata ya Mlandizi, Kitongoji cha Msufini, Mtaa wa Kilimanjaro. Kuna changamoto ya Uhaba wa maji kutoka, huu ni mwezi wa pili sasa. Wakati wa Mchana huwa...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa...
1 Reactions
4 Replies
661 Views
Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
4 Reactions
33 Replies
2K Views
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO),imetoa mwito kwa wananchi wote kuendelea kuwa mabalozi wa haki, upendo na mshikamano kwa watu wenye ualbino na makundi mengine yaliyo...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Mkuu wa masoko wa Africarriers Ltd Mohamed Ladha (kushoto) akielezea zaidi ubora wa magari kwa Menejimenti, Wafanyakazi na Wateja wa Benki ya Exim Tanzania baada ya utiaji saini wa makubaliano ya...
2 Reactions
9 Replies
241 Views
DAWA YA UBAGUZI NI KUBAGUANA Na, Robert Heriel Kama kuna njia muhimu ya kuondoa ubaguzi basi ni kubaguana. Ubaguzi utadumu daima dawamu endapo watu hawatabaguana. Kubaguana ndio njia sahihi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Vijana wa Dar es Salaam wanapenda mno Maisha ya Kuigiza na kutoonekana hawana Hela au Masikini hivyo⁶> Watabanduliwa sana tu hadi wakome. Kuna Mchekeshaji (Comedian) mmoja (namhifadhi) alikuwa...
2 Reactions
6 Replies
176 Views
Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia. Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi...
1 Reactions
11 Replies
180 Views
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Licha ya kuwepo kwa sheria, kanuni na mifumo ya usimamizi wa sekta ya madini nchini, simulizi kutoka migodi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga zinaonyesha taswira tofauti usalama bado ni...
-1 Reactions
0 Replies
796 Views
Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu. Mwisho wa siku yule marehemu...
1 Reactions
17 Replies
281 Views
Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…