Kuna watu wanaweza kuwa wanaish Tanzania lakin kuna mambo yanayofanyika yanashangaza wengi wanaochungulia.
1. Ndo nchi pekee ambayo mwanachama wa upinzani anashangilia serikali kukwama na mapato...
Ni mrembo, ni nurse by professional. Ameniambia nisimkopeshe anaogopa kuniahidi uongo ila yuko tayari kunipa niichape.
My take:
Naona kabisa amekwama kweli hivyo nimepanga kumpa hiyo hela ila...
Pale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa (dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa...
Chini hapo kwenye picha ni bilionea nchini anayekuja kwa kasi sana Dr Ibra Chenza PhD anajihusisha na online marketing.
Ana resort yake kafungua huko Rufiji inaitwa Oviedo.
Sasa cheki hizo...
Kuna jambo la kijiografia ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa muda. Ukiangalia ramani ya dunia, maeneo mengi ya mashariki yanaonekana kuwa na mchanganyiko wa utajiri mkubwa wa rasilimali na...
Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya...
Mi na shangaa hapa nchi kwetu mtu kashaota manyoya sehemu za siri ndio unaenda kumfundisha uzarendo JKT na sehemu nyengine.
Maandalizi haya yangekuwa yananza wakiwa tokea wamezaliwa kama...
Binadamu akija kuelewa vizuri maana ya kifo, nadhani atapunguza sana majivuno na mashindano yasiyo na mwisho. Ukweli ni kwamba sisi wote ni wapita njia. Wengi tuliokuwa nao jana walikuwa na ndoto...
Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?
Udalali ni nini
Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu...
Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi.
Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia...
Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia.
Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani...
Watu wakitembelea UDSM wanashangaa jinsi mazingira yake yalivyo green, tree lined roads, lawns na gardens
Halafu wengi wanafikiri chuo cha UDSM kilijengwa na wakoloni ndio maana kipo hivyo, kumbe...
Kuna kiwango kikipitiliza cha kujipendekeza mpaka kinakosekana cha kujipendekeza.
Kuna siku mufti zuberi akiitisha wanahabari na mnukuu maneno yake kuwa samia kaandikwa kwenye quruan raisi wa...
Nani mzamini wa kuita wana habari na kusema watawashugulikia wakati ni raia wasio na mamlaka wakati jeshi la polisi lipo.
Naanza hapa
Sasa na hiki kikundi ambacho kinatishia .Polisi mpo kimya.
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale tangu...
Sijawahi kusikia CCM kazungumzia neno haki.Wao ni Amani tu.
Hii Amani imekuwa kichaka cha CCM kuaminisha watu huku wakijua haki hakuna na wafanyao sio haki.
Neno haki limekuwa likikwepeshwa sana...
Wenzetu wapo makini sana kwa mawazo ya mtu yenye kuleta solution au mbinu ili mradi anaweza kuthubutu na kutenda.
Hapa tabia iliyopo ukiwa na mawazo wanajifanya kama wajapendezwa nalo mwisho wa...
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good...