hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari.
Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa.
Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano.
Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota...
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu...
Hii ina maana gani? mtu""kukaribishwa,,,chakula hujashiba lakini unasema nimeshiba
tabia hii naiona mtu ana njaa akikaribishwa chakula anasema kashiba!!!
NAWAKARIBISHA WOTE KWA MCHANGO
Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi.
Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale.
Kenya walijiongeza na...
Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri,
HABARI WADAU;
kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo...
Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu
Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji,
Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni...
Ah! wadada huku kwetu wanavaa nguo fupi na akivaa modo inabana mpaka pichu inachora mbele sasa balaa k* inaonekana imeloesha modo dah! hv wanajidhalilisha au wanadhani wanakomoa wanaume au...
Kuna mambo muelezwi wanao yaona huko.
Huyu waziri kombo anaweza kukupa kile kitabu au kinyago kama zawadi mara kuomba picha na wewe.
Mwisho wa siku habari tanzania kwenye vyombo vyetu vya...
Je umewahi kuona jambo! la sili lakini ukavunga kwa sababu hayakuhusu? binafs nimewahi kukuta mke wa mtu akigongwa lakini nivunga kwa sababu hayanihusu_kama una tukio uliowahi kuona la sili...
Ujerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge hawa wapuuzi hata kama dakika zinebaki chache. Tumewaachia kidogo tu wameshaleta mazoea!
Huruma wala si malezi.
Wakuu, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kifo hiko kilichotokea saa tano asubuhi kutokana na kuharisha na kutapika. Hapa nadhani alipungukiwa maji. Nikifa MkeWangu Asiolewe naomba kama bado upo...
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf...
Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao.
Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi.
Mbwa walikuwa ni jamii...
Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili
Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo
1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono
2. Miguu...
Mzuqa wanaJF!
Her ya mwaka mpya tumeuona.
Huyu jamaa nakumbuka alikuaga na nyodo sana. Kwake kwa nje ya fens kulikuwa nakamti flan kanaleta kivuli. Basi masela kitaa tukaweka mawe na bench...
Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka...
Habari wana JF .
Naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?
KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani...