Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameishambulia serikali na wabunge wa chama tawala kwa kuwakamua tozo na kodi za dharau wananchi wa kipato cha chini, huku viongozi wakitengewa...
Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima...
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limesema kuwa Mwananchi mwenye changamoto na malalamiko yoyote kuhusu huduma zao anatakiwa kufika ofisini au kuwasilisha malalamiko yake kwa njia ya kuwasiliana na...
Ukiwa kijana, kushika mshiko wa kwanza maishani ni kama kupata uchawi fulani hivi unaokufanya uhisi una uwezo wa kununua mtaa mzima. Lakini bila kujitambua, unajikuta unafanya makosa ya kijinga...
Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na...
Taratibu, sikufundishi ujichukie, siangushi hadhi yako ila naamini unaelewa nachomaanisha.
Ok walituita nyani,
Lakini twende na ukweli mwafrika mwenzangu,
Ebu angalia mambo tunayofanyiana namna...
Ukimuona mtu wa miaka 35, 40 au 50 anasema mimi hizo club nilishaacha zamani usiamini haraka. Mara nyingi si kwamba hataki kwenda, bali mwili unagoma tu. Mimi tu mwenyewe nina miaka 30 tu, lakini...
Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi.
1.Nchi...
Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa...
Tanganyika Law Society
2 hrs ·
Dear Member,
It is with deep regret that we inform you of the untimely death of our TLS member Advocate Yassin Membar, Roll number 1281 who passed away today 20th...
Nakumbuka ilikuwa Jumapili ya mwisho ya Oktoba, 2009, siku hyo ilikuwa ni siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Siku hiyo muungwana mimi nilipanga kujitoa uhai kisa na mkasa cha kutaka kujitoa...
My people,
Siku ya Valentine haifai katika mtazamo wa kiislamu kwa sababu kadhaa zinazotokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna. Hebu tuangalie kwa undani:
1. Asili ya Siku ya Valentine
Siku ya...
✨ "Amani hujengwa kwa hekima, huvunjwa kwa hasira; maendeleo hujengwa kwa umoja, si kwa migawanyiko." ✨
Ndugu vijana, ninyi ndio nguvu, tumaini na kesho ya taifa letu. Msikubali kushawishiwa...
hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari.
Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa.
Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano.
Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota...
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu...
Hii ina maana gani? mtu""kukaribishwa,,,chakula hujashiba lakini unasema nimeshiba
tabia hii naiona mtu ana njaa akikaribishwa chakula anasema kashiba!!!
NAWAKARIBISHA WOTE KWA MCHANGO
Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?