Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hellow wana JF. Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino. Naomba kuwatoa hofu...
10 Reactions
125 Replies
1K Views
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya...
29 Reactions
133 Replies
1K Views
Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha...
5 Reactions
34 Replies
513 Views
Anonymous
Hii ni moja ya namna tunavyoibiwa mabuchani. Haiwezekani 0.5 kg ya nyama kubebwa na hivi visahani vinavyotumika kupimia nyama. Hali hii inatia shaka kuhusu usahihi wa vipimo vinavyotumika na...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Wakuu, Tangu Serikali kupitia Wakala wa DART ianze kutekeleza mpango wa kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutoka kwa mwendeshaji mmoja (UDART) kwenda kwenye mfumo wa...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Nikiwa mmoja wa wakazi wa Shinyanga,baada yakupata habari hii,nilishituka sana! Nawaza ni vijana wangapi watakosa ajira pale stand?? Je hii familia inaenda kuishi vipi?? Yajayo yanafurahisha
2 Reactions
193 Replies
45K Views
WanaJF, tuweke kwanza hisia za kisiasa pembeni, tuangalie hili suala kwa jicho la uchumi, utawala, matumizi ya Serikali, ulinzi, rasilimali na mustakabali wa Taifa. Kimsingi kuna mifumo miwili...
2 Reactions
6 Replies
147 Views
Kwa wenye uelewa mpana,kuhusiana na suala hili, Nitashukuru kueleweshwa suala hili kwa kina, Kwa nini serekali yetu inaliogopa sana suala hili.
0 Reactions
2 Replies
28 Views
Ipuuzeni taarifa hii ya uzushi iliyotengenezwa na wahalifu. Tunawasisitiza Watanzania kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ikiwemo tovuti ya Idara ya...
2 Reactions
11 Replies
205 Views
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imebaini uwepo wa taarifa za uongo zinazotengenezwa kwa sura ya taarifa rasmi na kusambazwa mitandaoni zikidaiwa kutoka Ikulu au kuhusishwa na Mheshimiwa...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila...
3 Reactions
17 Replies
217 Views
Mheshimiwa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE. BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE. MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU...
5 Reactions
39 Replies
447 Views
Naami majasusi hutumia akili 85% ili kulinda taifa na hutumia nguvu15% kulina taifa hivyo najua wanajua 100% watanzania wapo na hitaji gani,mioyo yao imefika wapi,na wamegawanyika kwa kiwango gani...
2 Reactions
7 Replies
94 Views
Kama sijawahi kuomba kuletwa duniani, kuna haki gani ya kimantiki ya kunihukumu na adhabu ya moto wa milele? Ujumbe wa Mada: Kuja duniani haikuwa ombi, mkataba, wala uchaguzi wako wa aina...
4 Reactions
45 Replies
393 Views
Samahani wakuu, naomba msaada kufahamu cheo cha anayeitwa Mwaipopo katika nchi hii. Naona anapewa mileage sana na media. Nawasilisha.
1 Reactions
11 Replies
129 Views
Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia...
3 Reactions
12 Replies
211 Views
  • Redirect
Hakiki taarifa zote na Idara ya Habari-MAELEZO, tembelea eneo la THIBITISHA/FACT CHECK katika tovuti yetu 🔗 https://www.maelezo.go.tz/thibitisha/
0 Reactions
Replies
Views
Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe)...
9 Reactions
21 Replies
372 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…