Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea: 🌿...
5 Reactions
12 Replies
13K Views
Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation. Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe...
0 Reactions
8 Replies
261 Views
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais...
0 Reactions
84 Replies
16K Views
Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya...
0 Reactions
4 Replies
115 Views
Anonymous
Habari, Mimi ni mhanga wa tukio la utekaji na mateso lililonitokea mwezi Agosti mwaka 2025, tarehe 25, baada ya kuitwa Dar es Salaam na mzazi mwenzangu ili kwenda kumchukua mtoto. Nilipofika...
14 Reactions
58 Replies
1K Views
Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia. Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii...
1 Reactions
2 Replies
96 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya...
2 Reactions
7 Replies
338 Views
."Usijenge maisha ya kuonekana vizuri mbele ya watu, jenga maisha ambayo yatakufanya ujiheshimu ukiwa peke yako." 1.Jifunze kila siku — mtu anayekua kila siku hawezi kubaki sehemu moja. 2.Chagua...
2 Reactions
2 Replies
151 Views
Fishtail palm, unaojulikana pia kama mtende wa mkia wa samaki kwa sababu majani yake yanafanana na mkia wa samaki. 1. Uainishaji wa kisayansi Ufalme (Kingdom): Plantae Mgawanyiko: Angiosperms...
0 Reactions
10 Replies
213 Views
Mtu anapoona hoja yake haikubaliki, badala ya kujibu hoja huanza kusema 'hujui kitu', 'huelewi', au maneno mengine ya kudhalilisha pia kuuliza maswali nje ya hoja kufanya mjadala kupoteza uelekeo...
3 Reactions
2 Replies
56 Views
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50.. Chukulia mfano waajiliwa, Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai...
16 Reactions
138 Replies
1K Views
Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN...
5 Reactions
12 Replies
387 Views
Habarin wana JF Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu. Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa Idd Amin nchi ya Uganda. Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa Tanzania ni kama yale ya Uganda. Utekaji wa wazi, ufisadi wa kitisha, uchawa wa...
5 Reactions
17 Replies
976 Views
  • Redirect
3 Reactions
– Replies
– Views
Nchi hii tumepewa vingi sana lakini hatujui thamani yake, majirani waliopewa kidogo wanafanya jitihada zote kupata maximum benefits. Hapa kwetu mzungu anatua KIA Arusha na wengi destination yao...
2 Reactions
44 Replies
620 Views
Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata...
9 Reactions
19 Replies
354 Views
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi. Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta...
4 Reactions
14 Replies
236 Views
Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki. Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote...
6 Reactions
64 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…