Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa...
3 Reactions
9 Replies
342 Views
Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi...
2 Reactions
6 Replies
130 Views
Huduma za kibingwa na kibobezi za Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) zimeendelea kuvutia wananchi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
1 Reactions
4 Replies
90 Views
Hebu tufikirie kwa mfano tu dunia ambayo hakuna kuugua wala kufa kwa magonjwa wala uzee. Kila mtu siku moja atakufa kwa ajali tu, ila hajui ni lini na wapi na kwa ajali gani ajali ya ndege ,gari...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Kuna kitu kinaitwa Closed Circuit Coup. Ama CCC. Mambo ni mengi muda mchache. Teknolojia ya upashanaji Habari, mawasiliano, majadiliano na hata malumbano ya hoja sasa vinaweza kufanyika kwa...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma Asante sana SAYUNI BOY
4 Reactions
16 Replies
435 Views
Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Juzi moyo wangu uliumia sana kwa simulizi ya kijana Haji. Mtangazaji Esco, katika pitapita zake, alimkuta kijana muokota makopo aliyekuwa amechoka, akafanya naye mahojiano mawili matatu. Ghafla...
1 Reactions
9 Replies
202 Views
Mtandao wa huu kuna member wengi mno cha kushangaza!!==*asilimia kubwa ya member humu wanatumia majina feki kwenye ID zao na"" picha feki kwenye avatar zao je? ni kitu gani kimekufanya utumie id...
2 Reactions
23 Replies
277 Views
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Hajjat Asia Juma Messos TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO YA SERIKALI WILAYANI MKALAMA (2025/26) Ndugu waandishi wa...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Great news from East Africa. The United States and Tanzania have entered into a $3.15 billion, five-year bilateral Health Cooperation MoU under President Trump’s America First Global Health Strategy.
0 Reactions
0 Replies
95 Views
▪️ Waziri Mavunde akutana na mwekezaji wa kiwanda cha kuzalisha goroli za chuma ▪️ Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa Buzwagi Special Economic Zone, Kahama ▪️ Oriental Casting and Forging Ltd...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
  • Redirect
Zifuatazo ni nchi za Afrika zenye madeni makubwa zaidi ya IMF mwaka huu . 1.Misri 7,245,182,524 2.Cote D'Ivoire. 3, 603,438 ,776 3.Kenya. 2, 873,418, 234 4.Ghana 2,728,468,500 5.Angola...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako Mama/baba mfundishe kijana wako...
1 Reactions
1 Replies
566 Views
Kama kichwa Cha habari kisemavyo kwa upande wangu ni kama Ile faida ya mtoto ku belong to father's family sioni faida yake kwa sababu mamlaka yote ya mtoto ni kama kapewa mama wa mtoto na ndio...
1 Reactions
5 Replies
111 Views
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉 Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…