Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza...
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Habari ndugu wawekezaji, Naomba kuuliza ni bima gani hapa Nchini inafanya vizuri sana kwenye suala zima la bima za mitambo? Naulizia kuhusu 01. Malipo ya haraka? 02. Assesment za haraka Kwa...
1 Reactions
3 Replies
74 Views
  • Redirect
Anonymous
Habari. Sisi wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao...
8 Reactions
38 Replies
434 Views
Kipindi cha miaka 99 kushuka chini kombe la dunia lilikuwa na mvuto sana kila timu ilionyesha mvuto wake. Kipindi kile tulifahamu wachezaji wengi sana mpaka makipa. Mada hii inaweza gusia kila...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa...
0 Reactions
11 Replies
816 Views
Nilikuwa naangalia video za watu waliokamatwa kwa wizi wa pikipiki leo na juzi nikaona pikipiki nyingine wenye mali wamezikamatia maduka ya used Nikawaza hivi kuna usalama na zile pikipiki...
4 Reactions
2 Replies
185 Views
Natanguliza shukrani. Ikibidi awe na uzoefu mzuri. Mawasiliano; Pm
0 Reactions
3 Replies
99 Views
Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
4 Reactions
6 Replies
167 Views
Je ni hasa chazo cha ufaulu ? Teknolojia Aina ya mitihani Malengo ya wahisani Tiririka
3 Reactions
29 Replies
627 Views
Tanzania imelitaka Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kujenga mfumo wa kimataifa wa Miliki Ubunifu unaowezesha nchi zinazoendelea kunufaika na maendeleo ya Akili Unde(Artificial...
0 Reactions
2 Replies
163 Views
KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia. Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao Ukikataa kulipa kazi unapoteza Waziri ingilia kati hii changamoto
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana? Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu...
1 Reactions
2 Replies
83 Views
Apa bongo mtu kuitwa Sir au madam mbona nikama simple sana au mimi ndio sijui kitu asa kwa walimu wetu
2 Reactions
19 Replies
328 Views
Hatma ni neno linalomaanisha mwisho, matokeo, au mustakabali wa jambo lolote. Ni kile ambacho kimepangwa kutokea katika uhai wa mwanadamu au katika kuwepo kwa kitu chochote. Katika mtazamo wa...
5 Reactions
13 Replies
181 Views
Hatari nyingi haziji zikiwa zimevaa sura ya hatari. Mara nyingi huja zikiwa zimefungwa kwenye kifurushi cha urahisi, maendeleo, starehe au teknolojia. Ndio maana tunapaswa kujifunza kuhoji kila...
2 Reactions
0 Replies
117 Views
Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted Chakula...
6 Reactions
23 Replies
251 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…