Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi hawa watu mandumi la kuwili wanajua nafasi zao hapo wanaposhikiria. Shida yetu sisi watanzania tunapenda kulifanya kosa libembelezwe kwa hekima. Mpaka leo hakuna la maana kuhusu kesi ya lissu.
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Hivi ni mimi peke yangu naliona hili? Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi...
41 Reactions
133 Replies
5K Views
Usafiri wa boda boda umekuwa kipimbilio la vijana wengi kupata kipato. Wengi wanaofeli shuleni na wale wanaohitimu na kukosa ajira hukimbilia kwenye shughuli hii ya kusafirisha watu na/au...
2 Reactions
12 Replies
296 Views
Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana Kwa nini msitenge...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno...
19 Reactions
56 Replies
764 Views
Ujumbe wa leo kaka zangu dada zangu wapambanaji katika kutafuta hutakiwi kukata tamaa ukasema mimi ni maskini pambana na usifuate MISEMO yenye kuludisha nyuma ya misemo yenye kukufanya ukate tamaa...
3 Reactions
9 Replies
119 Views
https://www.facebook.com/share/v/19DSDGvKwW/ Chanzo cha motoπŸ‘‡ https://www.instagram.com/reel/DanG7CasUE4/?igsh=MWVqYWtsbDN1cnc2bw==
6 Reactions
12 Replies
290 Views
Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana, It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza...
10 Reactions
28 Replies
532 Views
Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Mawaziri wanaosimamia sekta za Uchukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameazimia kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo πŸ‘‡ KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na...
12 Reactions
35 Replies
587 Views
Watanzania wanapaswa kujiandaa kwa bei ya juu ya saruji baada ya wazalishaji wakuu kutangaza nyongeza mpya ya bei, hatua inayotarajiwa kusukuma gharama ya rejareja ya mfuko wa kilo 50 zaidi ya...
6 Reactions
13 Replies
425 Views
Kizazi cha sasa (π—šπ—˜π—‘ 𝗭 ) kipo katikati ya mapinduzi makubwa zaidi ya soko la ajira tangu kuanza kwa karne ya 21. Kwa wadogo zangu mnaojiandaa kuingia vyuo vikuu baada ya matokeo ya Kidato cha...
2 Reactions
4 Replies
220 Views
Salaam watalaam Kijana nimekuja kwenu kuomba msaada wa mawazo.. Nimeajiriwa sehem lakini sibanwi sana kazini kiasi kwamba nina muda mwingi wa ziada.. Natamani kufanya kazi yeyote ya part time...
0 Reactions
3 Replies
92 Views
Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Kipolisi Makambako, mkoani Njombe, Mrakibu msaidizi wa Polisi ASP Lilanga Chodas ameitaka jamii kushirikiana katika masuala ya kijamii kama misiba ili kudumisha...
1 Reactions
9 Replies
177 Views
Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi...
2 Reactions
48 Replies
519 Views
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Hidaya Chiwembi (51), ameuawa baada ya kupigwa kichwani na kunyongwa shingo kutokana na mgogoro wa mipaka ya shamba lake, kisha mtuhumiwa kutoweka. Tukio hilo...
2 Reactions
31 Replies
720 Views
Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa...
7 Reactions
11 Replies
262 Views
Ebana guys, nataka nifungue kampuni itayohusika na kununulia wateja umeme kutoka TANESCO kama ambavyo unaweza kutumia mtandao wa simu. Sasa nilitaka kujua process kufuata ili Tanesco wakupe API...
1 Reactions
8 Replies
499 Views
Wakuu kichwa kinajieleza ni ipi tofauti ya masikini na fukara yani ni nani aliye chini zaidi kati ya hao wawili niliowataja hapo juu? NAWASILISHA:
3 Reactions
9 Replies
272 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…