Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CATEGORIES OF PETROLEUM PROGRAMS IN TANZANIA PETROLEUM PROFESSIONALS BOARD (TPPB) Academic Levels: Diploma / Bachelor’s / Master’s / PhD 1. Petroleum Refining, Processing & Petrochemicals...
2 Reactions
6 Replies
188 Views
African Education System has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st class and get admission to Engineering and medical schools. The 2nd class students get MBAs and LLBs to manage...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa...
1 Reactions
9 Replies
176 Views
Jana kazomewa. Huko wizarani ni kama yatima. Bashite na Gerson wana enjoy. Wamemtenga jamaa jikoni kwenye mafuta. Hata safari ya Paris na kombe la dunia jamaa wamembania. Wakati wa mwenye kifua...
3 Reactions
3 Replies
152 Views
MADAI YA KIFO KWENYE KITUO CHA AFYA NGAMIANI Tanga, Julai 10, 2026 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, imeiona taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu kifo cha Bi. Veronica Patrick...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Wakuu nimekua nikikerwa sana na baadhi ya wauza Duka magenge n.k Huwa Wana tabia Ya dharau Wengi wao unaweza Kwenda Dukani ukakuta Kitu ulichofuata kipo Lakini Muuzaji ana Maringo Dharau majibu...
0 Reactions
12 Replies
179 Views
Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama! Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond...
1 Reactions
7 Replies
175 Views
Kwa jamii zilizostaarabika kuna bidhaa bei zinatakiwa ziwe standard. Kuuza Bidhaa za electronics, nguo, vyombo, na vipuri za aina moja kwa bei tofauti kwa watu tofauti ni wizi na utapeli mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
86 Views
Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin. Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser...
3 Reactions
1 Replies
141 Views
Yule masanii pendwa mpiga miti, Dudu baya oil chafu kutoka Bujora kisesa. "Amejikuta katika taharuki kubwa baada kuzimiwa mic katika tamasha la miaka 30 ya bongo fleva kufuatia kauli zake dhidi...
2 Reactions
6 Replies
237 Views
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi tuliomaliza mafunzo ya udereva katika Chuo cha VETA Mbeya mwezi Septemba 2025, Baada ya kumaliza mafunzo, tuliambiwa hatuwezi kupata leseni ya udereva Daraja E bila...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
  • Redirect
Au tutaendelea kushupaza shingo?
0 Reactions
– Replies
– Views
Tunasubiri ufafanuzi toka kwa katibu mkuu wizara na msemaji wetu mkuu wa serikali juu ya tukio la kuzomewa naibu waziri wa sanaa na michezo asaa baada yakutaka kusemea mema ya Rais wetu wa awamu...
4 Reactions
2 Replies
127 Views
Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili...
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Tangu kuletwa kwa mfumo huu umekua kikwazo na kero zaidi kwa watumishi kuomba uhamisho. Mfumo huu umetumiwa kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi waumma. Mbaya zaidi mfumo hautambui changamoto...
0 Reactions
5 Replies
202 Views
Ni kweli mafanikio yanahusisha furaha, amani na utulivu wa moyo. Lakini tusidharau nafasi ya pesa. Ukiishi maisha ya kukosa chakula, kushindwa kulipa ada, kodi au matibabu, ni vigumu kuwa na amani...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Hii kitu ipo na Sisi wanaume Mambo mengi kichwani unawaza wa kwambia mbanga zako lakini unaona huwenda yeye akawa anapanga nzito kuliko wewe. Mmkaa meza moja mnakunywa nyagi wanaongea Kwa furaha...
4 Reactions
11 Replies
149 Views
Hivi utaratibu wa waislamu kuzika mtu ndani ya masaa machache hauwezi kuwa unazika watu wakiwa hai? Kuna jambo nimekuwa nikalitafakari kwa kina sana hasa kwa upande wa sayansi na uhalisia wa...
16 Reactions
97 Replies
2K Views
Hivi Wanawake Mmekubaliana Nchi Nzima Kuwa Kazi Yenu Rasmi ni Kujiuz Salaam Wakuu, yaani unatembea unaingia zako baa, unakuta wanawake wamejazana caunta au pembeni huku wameagiza kinywaji chao...
14 Reactions
93 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…