Kahama: Ndege ndogo yapata ajali Ushetu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Watu wawili raia wakigeni wamenusurika kifo katika ajali ya ndege ndogo aina ya ACQUILLA-MICROLIGHT 912 iliyoanguka katika eneo la shule ya sekondari Chambo halmashauri ya Ushetu Kahama na kusababisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo wakihofia usalama wao.
 
Back
Top Bottom