Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 682
- 863
Ni jamaa kutoka Uganda ameamua kujitia kitanzi baada ya kubet kwa hela za kampuni
SAFI SANA...Ni jamaa kutoka Uganda ameamua kujitia kitanzi baada ya kubet kwa hela za kampuniView attachment 867521
Sijui kwanini hata madrid akicheza na Yanga ukimpa madrid kwa hela ya kuazima au ya mtu mwingine hutakula kamweHela ya kukopa au kuazima huez kula betting hata cku moja,afu ukute n pesa ndefu huezi kula....pole ake....bet kwa hela ya jasho lako
Alibet Arsenal inafungwa! Muhindi kamla kichwa Muhindi mwenzie!Dah.... Atakua alikua amempa Atletico Madrid win..
Anyway, apumzike anapostahili.