Tuombeane mema tuache kuombeana mabaya

Tuombeane mema tuache kuombeana mabaya

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Ndg zangu pamoja na mambo mengine kama wanadamu

Hatuna budi kumtegemea Mungu kwa kila jambo

Ni wiki nyingine tena tunaianza humo katikati kuna mengi yatajitokeza

Hivyo ili tuwe salama tufanya yafuatayo

1.Tujitahidi kufanya ibada zetu tens bila kujionyesha kwa watu

2. Tufanye aliyotuamrisha na tukatazike na mabaya

3.Tuombeane mema tuache kuombeana mabaya

Huenda tukifanya haya Mungu anaweza kutusamehe na kutuepushia na mitihani ya hapa Duniani.
 
HAKIKA KILA ANAEMUOMBEA MEMA MWENZIE AU JIRANI YAKE BASI ATABARIKIWA.
Laiti kama wanadamu tungekuwa na moyo huo basi dunia ingekuwa sehemu salama na yenye tumaini kwa maisha yetu wanadamu
 
Huu uzii wa maana lakin hauna wachangiaji, ungekuwa umeandika pumba apaa, ungeona uzii umepofika,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom