Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa,hawakuwa na tabia ya kutuma meseji ovyo ovyo kila mara hasa za matangazo,sikatai meseji kwasababu ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Point yangu ni kwamba, kwakuwa Udart inaendeshwa na kampuni binafsi, hakuna sababu kwanini na wamiliki wengine wa daladala wasiombe na kupewa vibali vya kutumia njia ya mwendokasi. Hivyo abiria...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni? Maana kwa asilimia kubwa walikuwa...
5 Reactions
83 Replies
29K Views
Liu Ruopeng mwanafunzi wa PHD katika chuo kikuu cha duke 2006-2009. Liu inasemekana na alituhumiw kuwa aliiba teknolojia ya prof. Smith katika chuo kikuu cha Duke ambacho kimejikita ktk 'Meta...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ili kupunguza ajali zitokanazo na uchakavu Ili kupunguza athari za kimazingira Ili kwenda na thamani ya miji yetu na afya zetu Ili kuongeza uwezekano wa uwekezaji ktk viwanda vya kuunganisha...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Mwabasabi Mkoani Simiyu Susana Shija (9) amekutwa amekufa kwenye nyumba ambayo haijaisha huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimeondolewa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Biashara ya mabasi na/au malori ni ngumu na haiyumkiniki katika hali za kawaida haiwezekaniki kuwa na tija yoyote katika nchi kama za kwetu (hasa Tanzania). Mabasi au malori yanahitaji kuwapo kwa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Dear President. I am extremely grateful to your government. It has been doing well, to say for many. I recall that some years ago I wrote a letter to you [through this media] that me and my...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Ifuatayo ni orodha fupi ya malipo ya walimu wa elimu ya juu ya sekondari (High school teachers) katika majimbo mbali mbali nchini Marekani (USA) kwa mwaka .1 Alaska Annual mean...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Kwa nini guest tunaachia chumba saa 4 asubuhi na sio mchana saa 6 au saa 2 asubuhi. Naona guest zote utaratibu ndio huo,ukizidisha muda hapo unahesabika umelala na siku hiyo. Napenda kujua hii...
6 Reactions
56 Replies
10K Views
Miezi miwili iliyopita niliota ndoto ila sikuilewa hadi sasa,mwenye uelewa wa kutafsiri ndoto naomba anisaidie, Baba angu amefariki miaka kumi iliyopita,alinitokea kwenye ndoto nikiwa nimelala na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mzigo bahasha nataka kutuma kwenda Korea ya Kusini. Kama kuna mtu ana mpango wa kusafiri kabla ya tarehe 17/10/2018. Naomba msaada, tuwasiliane. Natanguliza shukurani zangu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Marwa Itembe (28), mkazi wa kijiji cha Mbalimbali wilayani Serengeti Mkoa wa Mara amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu ya uhujumu uchumi. Mbele ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimefuatilia uteuzi wa mawaziri wapya,lakini pia nimefuatilia mawaizri wa mh Jk ambao amekuwa anawateua kushika wizara mbali mbali tangu awe rais wa inchi hii.Je mh mwanri ana tatizo gani na mh jk...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wanajf, hivi sasa baada ya wimbi la wale matapeli wa mitandoni wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" kuenea na hatimae watu kuerevuka na kuwapuuza, ni kwamba kuna utapeli mwingine umeibuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanaume wakamatwa wakinunua Makahaba JUMANNE , 9TH OCT , 2018 NA ELBOGAST MYALUKO Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia wanaume watano, kwa kosa la kujihusisha na kununua wanawake...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hakika hospital ya wilaya ya kahama kuna rushwa na uzembe wa hali ya juu mgonjwa anaweza kukufia ilihali watumishi wakitazama,wanakejeli na maneno ya dharau mbali na hilo mbaya zaidi kuna wizi wa...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameonyesha masikitiko yake kwa namna mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) namna unavyoendeshwa na kuwataka watendaji wote kukutana naye Kimara...
6 Reactions
109 Replies
12K Views
Sehemu ya Kwanza Na Muhammad bin Yusuf [Chapa ya mara ya kwanza - Mwezi wa Ramadhan, 1415 Hijria -1995] Swahili ni Taifa la makabila yaliopo katika Pwani ya Afrika ya Mashariki na visiwa vyake...
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Mm huwa napeleka gari yangu aina ya CRV New Model car wash ya mtaani kijana anaiosha ! Na wengineo. Muda wote huwa safiiii mle ndani. Nani huiosha mle ndani na wakati gani ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom