Msaada: Hii ndoto inamaanisha nini?

Msaada: Hii ndoto inamaanisha nini?

super cup

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
212
Reaction score
91
Miezi miwili iliyopita niliota ndoto ila sikuilewa hadi sasa,mwenye uelewa wa kutafsiri ndoto naomba anisaidie,
Baba angu amefariki miaka kumi iliyopita,alinitokea kwenye ndoto nikiwa nimelala na mke wangu na watoto wawili akaonyesha ishara ya kukasirika
Baada ya wiki moja na nusu hivi akarudi tena (yaani nikaota tena)akiwa sehemu ile ile kwenye ndoto ikaonyesha nimelala mwenyewe ila kwa uhalisia nililala na familia,akaonyesha ishara ya kufurahi.
Je ndoto hii inatafsirikaje?
 
Mkuu umetaka kufafanuliwa ndoto yako .Ila utaki kuonesha au kuongea ukweli juu ya tabia ya mkeo ... Jibu la ndoto yako ni tabia ya mkeo
Mkuu tabia yake ni mtu mwenye wivu sana uliopitiliza,hivyo hupenda sana ugomvi
 
Back
Top Bottom