Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msaada wenu wakuu tafadharini Mimi ni kijana umri miaka 19 nasumbuliwa na tatizo la kifua na vidonda vya tumbo nilipima mara ya kwanza nikapewa dawa zikawa hazijanisaidia nikapima tena wapi...
2 Reactions
5 Replies
215 Views
Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa...
4 Reactions
20 Replies
594 Views
Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza...
3 Reactions
7 Replies
185 Views
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao. Kuna haja ya...
7 Reactions
37 Replies
489 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wakazi wa Kimara, naomba msaada wenu kufichua changamoto ya maji machafu yanayotolewa na DAWASA katika eneo la Michungwani Darajani. Maji haya yamekuwa yakisababisha baadhi ya...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
  • Redirect
Anonymous
Habari, Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Tarehe 16 nilifika Stendi ya Somanda, Bariadi, Simiyu, ambapo nilitakiwa kulipa shilingi 300 kama ada ya kuingia stendi. Baada ya kulipa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari, Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Tarehe 16 nilifika Stendi ya Somanda, Bariadi, Simiyu, ambapo nilitakiwa kulipa shilingi 300 kama ada ya kuingia stendi. Baada ya kulipa...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Azimio iliyopo Halmashauri ya Mji Rufiji mkoani...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mada inajieleza. Hapa nianze na mfanyakazi wa sekta ya umma, sekta binafasi mwisho mwananchi maskini. 1. Mfanyakazi wa serikali. Nurse doctors advocate teacher etc Ni wapi wanapata ruzuku. Kama...
1 Reactions
3 Replies
73 Views
Ni rasmi sasa uongozi wake umehitimika. Maswali muhimu ya msingi 1. Wakati anaingia madarakani alijaza mkataba ? (Ni vyeo vya mkataba ? au ?) 2. Unapoondolewa Kwa mtindo huo (kudhalilishwa na...
3 Reactions
4 Replies
180 Views
Katika manunuzi ya vitu dukani gengeni au hata super market unaweza kuzidishiwa chenchi (kuzidishiwa hela) dukani je ulifanyaje ulifanyaje uliirudisha au ulivunga au ulifanyaje share hapa na sisi...
8 Reactions
99 Replies
1K Views
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa... Kwanini mtumie barabara...
17 Reactions
226 Replies
22K Views
Huu uzi maalum kwa ajili ya kuchati na marafiki zako wa humu n.k ndio maana nika amua ku fungua uzi huu binafsi napenda sana ku chat so kama na wewe unapenda ku chat naku karibisha"" hapa uzi huu...
3 Reactions
54 Replies
583 Views
  • Redirect
TUENDELEE KUCHANGIA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
2 Reactions
– Replies
– Views
Hawa wakina pravin na jabir wamerithi tokea babu na anaambia baba wa babu yao ndio alianzisha hio business ambayo leo ni kampuni. Watu wana muunganiko wa pesa tokea nyakati ya arab slave trade...
2 Reactions
1 Replies
94 Views
Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini...
1 Reactions
6 Replies
154 Views
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Habari zenu wana JF, Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada. Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia...
6 Reactions
89 Replies
13K Views
Katika makala iliyopita, uchunguzi huu uliibua hatari inayolikabili eneo la Tanganyika mkoani Katavi, ukataji wa miti ovyo unaotishia si mazingira pekee, bali pia mapato ya zaidi ya shilingi...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…