Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo...
2 Reactions
5 Replies
190 Views
Uzi maalum kwa wale tuliozaliwa mwaka elf mbili kuendelea kwa ajili ya kumbukumbu za utoto shule tukiwa tunasoma hata hujasoma unaweza ku- Share story yako hata kipindi ukiwa unachunga kumbukumbu...
6 Reactions
108 Replies
1K Views
Kuna mwanajf anafahamu huyu Mwamba maana mtaa unasema tumepigwa na kitu kizito kichwani USSR
3 Reactions
32 Replies
13K Views
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Uamuzi wa kuwataka madereva wa vyombo vya moto, hususan madereva wa malori makubwa, kurejea vyuoni kama VETA kwa ajili ya kuongeza ujuzi ni hatua nzuri katika kuimarisha usalama barabarani na...
2 Reactions
1 Replies
162 Views
Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam. Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini...
1 Reactions
5 Replies
217 Views
Vita ni kali haswa na wanataka kufikishana pabaya Mteja mwenye Duka la Reja reja mwanza anafunga safari anakuja Dar kwa muuzaji wa jumla ananunua tshrt 10,000 bei ya jumla anabeba hata pisi 300...
13 Reactions
47 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba. Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa. Anaweza kuitisha vyombo vya habari na...
1 Reactions
8 Replies
159 Views
Kama unamjua mtaje kuna member humu alitambulishaga Id zake zote cha kushangaza kwenye baadhi ya mada ana reply kisha aquote kujitukana na na Id yake nyingine Kuna muda an ji tag mwenyewe sasa...
11 Reactions
167 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Muhammed amewaambia waandishi wa habari ofisini kwake kwamba safari za umbali mrefu kuanzia kilomita 60 hadi 70, nauli itakuwa...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Hata kama biashara yako ni ndogo funga CCTV camera na imarisha ulinzi hakuna kitu kinaumiza kama kuibiwa yan mtu unapambana kwenda mbele wezi wanakuja kukurudisha nyuma steps kadhaa. Popote mwizi...
6 Reactions
19 Replies
387 Views
Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma. Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio...
4 Reactions
37 Replies
920 Views
Utasoma sana Vitabu, utasikiliza sana speeches za waliofanikiwa ila ukweli hutoweza fanikiwa. Mi nachoamini hata Mo dewji kua vile sio kwa namna ile tunaona sisi ukute hata yeye hajuijui...
5 Reactions
18 Replies
227 Views
Kuna uzi nilisema kuhusu biashara ni mda ,wakati,mapungufu na eneo. Ila kwa sasa kila kona hakuna cha mkoani wala cha wapi ,kila mtu anatengeneza nyumba za kupangisha za kisasa au fremu zenye...
5 Reactions
27 Replies
578 Views
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya...
2 Reactions
0 Replies
569 Views
Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6. katika masaa 48 je kuna masaa 6...
2 Reactions
1 Replies
393 Views
Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila...
0 Reactions
3 Replies
65 Views
Mkijua watu hawana habari na nyie kwanza niwafunue tu. Mwamposa siku yoyote ni kama bushiri yule aliyejipigia pesa south africa na kukimbilia malawi. Mwamposa uwezi kuona anauzunika na haya...
4 Reactions
10 Replies
179 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…