Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwawezesha wananchi wa Wilaya ya Karagwe kuanza kunufaika na uchumi wa buluu kupitia...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi. Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani...
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani...
8 Reactions
49 Replies
961 Views
lile swali tunawaulizaga watoto unataka kuwa nani ukiwa mkubwa. mi siwaulizagi haswa huyu mdogo ana 5yrs wa kike. nawaachaga tu wa explore wenyewe. Sitaki kumlead mtoto in anyway i provide the...
5 Reactions
9 Replies
179 Views
Msemo ambao unaweza kuokoa mamlioni ya watu ila ao mamilioni washinde kukuokoa. Hii vita anayopigana nayo Lissu kikubwa kuungana naye.
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau...
2 Reactions
37 Replies
264 Views
Kuendelea kwa nchi za kiislamu, waislamu na waliokuwa waislamu kulalamikia ICC ni mahakama ya mabeberu, sasa ni wakati wa Waarabu na Waislamu kuanzisha mahakama yao ya Kimataifa. hii ni kwasababu...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
UTASIKIA NJOO TUKUPINE MWILI MZIMA AU MWINGINE TUNAPIMA MAGONJWA YOTE , UKIENDA UNAMKUTA NA KIPIMO CHA Quantum Magnetic Resonance Analyzer (QMRA)😄 Halafu gharama ya mwili mzima 20,000 tu 😆😆
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Unakuta mkubwa anamuamkia mdogo kisa muonekano hasa hao mabinti wa siku hizi sijui wanakula nini unakuta kazaliwa 2000 ila umbo kama mbuyu kajenga hadi kibanda Kwa wanaume ukiwa dar unatakiwa uwe...
7 Reactions
32 Replies
447 Views
Mimi ni mkazi wa Kibaha-Zogowale, eneo ninaloishi limezungukwa na viwanda. Hivi karibuni kumeibuka shida kubwa ya uchafuzi wa hali ya hewa wakati wa usiku. Kuna harufu kali sana inachafua hewa...
3 Reactions
21 Replies
556 Views
Anonymous (8b17)
Kero yangu ni jirani yangu kufanya eneo lake kuwa kiwanda cha kutengeneza nyumba za makontena ambazo zimekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo letu na tumesha jaribu kuwasiliana na uongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Anonymous
Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za...
0 Reactions
3 Replies
207 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Mabibo Hostel, takriban miaka 30... Kero yetu ni muwekezaji kwenye Kiwanda cha EPZD Benjamin Mkapa kiwanda kimetukuta sisi wakazi wa hapa, kero yetu kubwa ni kelele za mashine...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye mkutano wa watetezi wa haki za binadamu ambao ni wanachama wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC)...
2 Reactions
2 Replies
93 Views
Wakuu, Nimekutana na ujumbe huu unaosambaa. Mtu anadai anafanya kazi lodge na anaonya watu wasitupe condom zilizotumika kwenye dustbin kwa sababu kuna watu wanazinunua kwa Tsh 20,000 kila moja...
5 Reactions
80 Replies
1K Views
Madereva Bajaji na wamiliki wa Bajaj Jiji la Mbeya wamesusia mkutano ulioitishwa na Mwenyekiti wao ndugu Lucas Mwakyusa kufuatia madai yao ya ukiukwaji wa katiba ya Chama cha Madereva Bajaj katika...
2 Reactions
10 Replies
236 Views
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Kazi. Utu. Maendeleo. #TanzaniaYetu
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Matunda ya uwekezaji wa wachimbaji wadogo yanazidi kuwatajirisha ambapo bwana Aidan Amefanikiwa Kuuza Madini ya thamani ya zaidi ya Bilioni 20.👇👇...
22 Reactions
172 Replies
13K Views
Zamani kidogo nilikuwa najua hizi mambo ni propaganda na nimatukio ya uropokaji na yakutengeneza mwaka fulani mkewangu alikuwa na ujauzito, ulikuwa na miezi miwili, basi nikawa nimesafiri...
2 Reactions
4 Replies
170 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…