Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Najiuliza hakuna namna ya kufanya matengenezo kwa awamu ili basi Tanesco mkate umeme walau kwa saa nne na siku inayofuata mkafanya tena hivyo? Hamjui au ni kwamba hamjali kwamba kuna watu ambao...
2 Reactions
15 Replies
290 Views
Kuweka mizengwe hakukusaidia tension iliyokuwepo already.... Wananchi wamebaki resentful kwa sababu ili serve kama reminder kuwa wako powerless hata pale rights zao zinapokuwa violated....(right...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Maisha ni maudhi tu Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo...
10 Reactions
14 Replies
221 Views
Wahitimu wa Diploma ya Laboratory Science 2024/2025 katika Chuo cha Karume Institute of Technology-Zanzibar wanashindwa kuomba nafasi za kujiunga na Vyuo Vikuu nchini pamoja na kushindwa kuomba...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
  • Redirect
Serikali ya Ghana imekubali pendekezo la kuongeza muda wa muhula wa rais kutoka miaka minne hadi miaka mitano, pamoja na kupunguza umri wa chini wa kugombea urais hadi miaka 35. Hatua hiyo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
19 Reactions
162 Replies
10K Views
Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si...
13 Reactions
15 Replies
383 Views
Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu. Tupo hapa tumelundikana...
1 Reactions
2 Replies
70 Views
Nyie malizaneni tu wenyewe kwani hata Sisi mnaotaka Kutugawa tuna yetu mengi tu yanatusibu hivyo msituchoshe.
5 Reactions
2 Replies
91 Views
Wassalaam, Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza. Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha. Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na...
23 Reactions
618 Replies
33K Views
Anonymous
Natoa wito kwa uongozi wa elimu katika Wilaya ya Misungwi kufuatilia kwa makini mwenendo wa baadhi ya viongozi ili kuhakikisha usimamizi wa walimu unazingatia sheria, haki na maadili ya utumishi...
1 Reactions
0 Replies
40 Views
Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika...
5 Reactions
15 Replies
551 Views
  • Redirect
Hatimaye Nabii Goldbess Lema amekea tabia iliyokithiri ya usela mavi kwa kina dada wa Arusha. Sisi watanzania tunakereka sana na awa kina dada.
0 Reactions
– Replies
– Views
Maisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo. Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa...
3 Reactions
27 Replies
336 Views
Natoa wito kwa CAF kuwa ijitafakari sana, Tanzania sio salama kama wanavyodhani, ni katika nchi hii tumeshuhudia watu wakitekwa na kupotezwa na miongoni mwao ni aliyekuwa mteule wa Rais. Hii ni...
5 Reactions
5 Replies
142 Views
Ni kwa mara nyingine naliomba Jeshi la Polisi ndani ya mji wa Bunda kukamata hiki kikosi kazi kinachojihusisha na uhalifu, uporaji na udhalilishaji wanawake. Hili ni janga na lisipodhibitiwa...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wakazi wa Ngarenaro, Kambi ya Fisi na maeneo mengine ya Jiji la Arusha. Baadhi ya garage na mabasi ya abiria yamekuwa yakitumia service roads kama maegesho...
1 Reactions
2 Replies
85 Views
Pata elimu juu taratibu za kuasili mtoto nchini Tanzania (Child Adoption), 👶🏽sikiliza MAELEZO PODCASTS 🎙️Tunapatikana katika audio channel zote 📌...
1 Reactions
0 Replies
71 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza wasiwasi wake kuhusu kukamatwa kwa wahadhiri watatu wa vyuo vikuu, huku mmoja wao akifunguliwa kesi ya ugaidi na wengine wawili...
1 Reactions
5 Replies
228 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…