Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka...
LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali.
KERO:
1. MASAKI-SIMU 2000
Haya ndio magari mabovu...
Mlitupa tarifa mnafanya maboresho siku ya tarehe moja mwezi huu kuanzia jioni tukaona sawa tu cha ajabu mpaka leo tarehe 3 huduma hazijarudi kiukweli mnatutesa mambo ya kutumia kadi tulishasahau...
Hii mamlaka hebu ipunguze kidogo kutumia maneno makali na vitisho kwenye barua zao hasa zile za VAT Verification.
Yaani wanakuomba utume vielelezo halafu bado wanakwambia tuna uwezo wa kuvikataa...
NEMA MUSHI AKANUSHA TUHUMA ZA KUMCHOMA MFANYAKAZI WA NYUMBANI KWA PASIMwanamke anayetuhumiwa kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani kwa kumchoma pasi katika sehemu mbalimbali za mwili, Nema...
Kuna changamoto kubwa katika upatikanaji wa National Physical Addressing (NaPA) Reference Number katika Wilaya ya Karagwe, Kata ya Kayanga. Mchakato huo umekuwa ukisumbua kutokana na kucheleweshwa...
NIMEMUAMBIA MZAZI WANGU;KAMA ANABARAKA ANITAMKIE BARAKA ENEO LOLOTE ALAFU MIMI NITAFANYA MAKUSUDI KUZEMBEA ENEO HILO ILI NIONE KAMA NITABARIKIWA. ANACHEKA..
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli...
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Zamani nilikuwa...
*Hivi Mlioaminishwa Kujenga ni Ushamba Mna Akili Ama MMEROGWA? *
Huku mtaani na mtandaoni kumezuka wimbi la vijana wa hovyo kabisa wanaoingia kwenye mkumbo wa kijinga.
Mtu anaibuka na kuanza...
Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza (kushoto), akisalimiana na Mwanzilishi Mwenza wa Taasisi ya Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST), Dkt. Gozibert...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna tabia ambayo nimeiona katika baadhi ya maeneo ya kazi na hata kwenye jamii, na kwa maoni yangu inahitaji kuzungumziwa wazi.
Ni tabia ya baadhi ya watu waliotutangulia...
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Ibumba, Kata ya Masebe, Wilaya ya Rungwe, tunaomba Serikali iingilie kati kutatua mgogoro ambao umedumu kwa takribani miaka 20 na umeathiri maendeleo ya Kitongoji cha...
Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja...
Katika tukio lililowafanya wengi kucheka, mwanasiasa mmoja aliamua kutumia mbinu ya zamani ya kisiasa kwa kutuma helikopta yake kutua karibu na mechi ya mpira wa miguu ya vijana akiamini kuwa...
Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu.
Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri
MASKINI
1.Matajiri Ni...
Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa...
Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi
Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china
Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na...
Kama mwanaume, watoto wako wakiwa bado wadogo na wewe ukiwa katika kilele cha nguvu zako ukiwa na kazi ya kudumu, nyumba huwa inaendeshwa kama ufalme uliopangwa vizuri. 😂
Wewe ndiye Amiri Jeshi...
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 31. Sauti yangu ni ya kawaida kama wanaume walio wengi ila nahitaji kuiupgrade niwe naongea bass Muda wote.
Bass langu linakujaga na kupotea eidha nikinywa pombe...