Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa...
8 Reactions
53 Replies
921 Views
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza...
20 Reactions
69 Replies
993 Views
Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa...
3 Reactions
0 Replies
80 Views
😁 Na cheka kama mazuri ila na mazuri na usije shangaa hii mada wakaweka vipindi kujiona wao ndio wana mjadara. Fahamu hata wewe unaweza kuunda AI yako ila itafanana na akili yako na IQ kulingana...
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Kwanini ikitokea ninapost picha au video inanihitaji nitype kwanza. Ni account yangu tu au hata kwa wengine. Cc: my Seran
2 Reactions
3 Replies
94 Views
Hii video ya machawa waomba pesa kwa matajiri huko Nigeria ni vurugu tupu, haina ustaarabu kabisa na inatweza utu wa waomba pesa, niwasifu machawa waomba pesa wa Tanzania na matajiri wao kwa...
3 Reactions
12 Replies
218 Views
HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Mazingira tunayoishi daily yanaathiri mwelekeo wa maisha yetu. Tuna watu wengi wana tabia ya kukaa vijiweni muda mwingi. Asubuhi tu saa 2 washajaa sehemu ile ile, mazungumzo yale yale,mpira...
15 Reactions
19 Replies
442 Views
Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa...
3 Reactions
12 Replies
132 Views
Ndio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni. Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu. Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia. Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa...
5 Reactions
12 Replies
275 Views
Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM. Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Hivi ukimwi sio tishio tena? Ni kweli maambukizi yameshuka au watu wanaishi nayo kishkaji kutokana na madawa? Mnakumbuka kipindi kile ndugu yako kila mtu amemkimbia kwake na mkimchungulia...
7 Reactions
22 Replies
338 Views
Hii picha inaonyesha kuwa unaweza kumuonesha ubaya kuwa yeye sio mtawala ila kumbuka kama una wajukuu na wanaokuunga mkono mtamalizwa hospitalini na hakuna sehemu inapoweza kuhukumu. Na hata...
1 Reactions
1 Replies
55 Views
Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight...
2 Reactions
3 Replies
84 Views
Kuna fununu nimezisikia eti, kuna miamba, wanawapa mimba wadada ikifikia miezi mitano wanashawishi itolewe, mdada akiogopa anafanya maarifa ya kuwa patia kombikit bila kujijua 🤔 Ikishatoka, kitu...
16 Reactions
49 Replies
668 Views
Wanawake wanaovaa ushungi/ hijabu au vilemba muda wote huwa wanasuka nywele au kuvaa mawigi?
5 Reactions
38 Replies
526 Views
Naomba kujuzwa. Nasikia wanafunzi UDSM miaka ya nyuma kila mlo ( lunch and dinner ) ulikuwa ni wali, nyama, mboga za majani na maziwa . Hivi nyama niyo ilikuwa ni ya ng'ombe au wanyama pori...
6 Reactions
19 Replies
377 Views
Hawa trafik wa wa morogoro na pwani wanasumbua sana unakuta anaamua tu kukupotezea muda bila sababu. Kuna siku nilisimamishwa na trafiki nikasimama cha kishangaza badala ya kuniambia sababu ya...
4 Reactions
11 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…