Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Heshima kwa wazee wa jukwaa. Tukiwa kunaikaribia tarehe 1 June ambapo ndio sheria itaanza kufuatwa kwa wote watakaokutwa na hii bangi mpya kama sio madawa ya kulevya, kuna baadhi ya mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“ Naiomba Serikali kupitia Wizara husika isipoteze muda kabisa Kununua na Kusambaza tena hizi Condoms nchini bali waache tu ziadimike ili Watu na hasa wale Wazinzi Wafe kabisa kwani huko Kufa kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa ratiba ya treni ya deluxe kutoka Dar kuelekea Kigoma, ipo lini na ratiba ya kukata ticket iko vipi maana nime jaribu kuingia kwenye website ya TRL hawako updated kabisa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Binafsi, ni mtumiaji mzuri sana wa mitandao ya kijamii. Kwa muda mrefu toka 2012 nilipoanza kutumia sim zenye uwezo wa internet hata ya 2G tu, nimejikuta kwenye ulevi mkubwa. Hayapiti masaa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu waziri wa ujenzi, mawasiliano na uchukuzi katoa amri mabasi yote yanayoenda mikoani yaanze safari saa 11 alfajiri. Chanzo TBC1 habari ------ Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...
3 Reactions
102 Replies
16K Views
Habari , Ni na ndoto ya muda mrefu ya kumiliki makazi ya ujenzi wa muda mfupi, ya kipekee na nafuu kidogo ila yenye ubora. Nimekuwa nikichunguza ujenzi wa wooden house kibongo bongo nimeona ni...
12 Reactions
205 Replies
24K Views
Salamu na heshima kubwa kwenu ndugu zangu wahandisi! Kwenye Syllabus ya Engineering hii hasa upande wa Geotechnical kuna hii ishu ya Barabara! Wahandisi kama tujuavyo kuna basic types Mbili za...
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Habar wana Jf Katika harakat zangu za maisha nimekutana na viroja vingi sana ndani ya mabasi ya mkoani ambayo ni 1.Kukaa siti moja na mtu anayekula njia nzima kila anachokiona ananunua anakula...
11 Reactions
55 Replies
6K Views
Salaam Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu..... Ningependa kuzifahamu bank ambazo hutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wafanyakazi. Kwa wanaojua tafadhali naomba ushirikiano wenu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Habar wanajamvi? Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari jambo hili lakini nimeona siombaya kama tukishirikiana kwa pamoja hapa. Kwa sasa tuna wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa,wizara...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
  • Redirect
Tuienzi lugha yetu ya Kiswahili, Andika methali, nahau au kitendawili Chochote hapa wengine watakupa jibu. --Mgaa gaa na upwa................ --samaki mkunje............... --simba mwenda...
1 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe ameliagiza Jeshi la Polisi kuwaweka chini ya ulinzi Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba, Josephat Kyebyera na Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Bukoba, Siima Kyamani kwa...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu Mwenye kujua tafadhali Soma title hapo juu unipe majibu..
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Vodacom Hisham Hendi amerejea kazini wiki hii baada ya kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa inamkabili kuisha kwa kukiri kosa na kukubali kulipa. Ikumbukwe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hii tabia ya kusahau hela kwenye suruali ki ukweli nimejitahidi kuiacha ila kila nikijaribu ntaacha kwa siku mbili au tatu ila siku nikija kufua ni lazima nikutane na buku au ka jero kila...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
IDADI ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327, 143 mwaka 2017 hadi kufi ka watalii 1,505, 702 mwaka 2018 na ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wa mikoa acheni kutisha watu. Unasema wasiokuwa na vitambulisho utawafikisha mahakamani ati kwa kukaidi agizo la Serikali? Wanapelekwa mahakamani kwa sheria na kuvunja au kutenda kosa gani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni njia gani hiliyo bora itatusaidia kuondokana na hii tabia ya watu wanao jiusisha na mapenzi ya jinsia moja? Tunaitaji jamii bora Mwanamke abaki mwanamke na mwanamme abaki mwanaume inapotokea...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
UDHAIFU WAKO NDIYO MAFANIKIO YAKO. Miaka mingi kabla ya kuwa maarufu katika ulimwengu huu kwa kutumia uwezo wake wa kuburudisha na kuchekesha umati wa watu kama muhusika mkuu katika mfululizo wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom