Ujasiri wa mtoto Anthony Petro, sasa umezaa matunda na kuleta mabadiliko katika familia yake.
Anthony, mtoto wa miaka 10, mkazi wa Ngara alisimama kidete kumzuia baba yake Petro Magogwa asiuze...
IGIZO
Angalia mchezo wa kuigiza
Kwenye huu wa kuigiza tumeona ambavyo mwanafunzi ambaye hakufanya vizuri kwenye masomo yake na kuhitaji msaada Zaidi kimasomo lakini mwalimu wake...
IGIZO
Angalia Mchezo huu wa kuigiza
Kwenye mchezo huu wa kuigiza tumeona jinsi ambavyo binti akitaka kumuhoji kiongozi(Mbunge) kuhusu mambo kadhaa kuhusu maswala ya Bunge lakini...
Utasikia Vijana Wa Kitanzania Vile Wanaitana Boss, Chief, Mtaalamu, Doctor, Fundi, Mkuu, Professor, Muheshimiwa, Kiongizi, Captain Yaani Unaweza Kusema Nchi Haina Tatizo La...
Mimi hupendelea kumuita Iron Lady wa media zetu za kibongo.
Ni Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa makamapuni ya IPP. Ni mama mwenye misimamo yake haswa linapokuja suala la kuilinda image ya IPP. Baada...
Huku Peru kuanzia watoto hufundishwa shuleni umuhimu wa kutunza mazingira. Hii mifuko ya plastic hawaitaki lakini wanajuasolution ni step by step;
2014 ilikuja policy ya kusema dukani unanunua...
Kwa nini kila kitu Tanzania lazima tununue kwa pesa taslimu?
Gari, nyumba, simu, thamani za ndani, sijui kitu gani, kwa nini?
Nchi nyingine vitu kama simu unaweza kununua kwa contract ukawa...
MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya, Vena Mtati (27) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga...
Mlipuko wa bomu unatokea katika sherehe ya kumpongeza Kamishina wa Jeshi la Polisi, Ibrahim Miraji baada ya kuteuliwa na rais kuchukua nafasi hiyo.
Hapo nyumbani kwake kwenye sherehe hiyo kuna...
Big house but small family.. More education, degrees but less common sense.. Advanced medicine but poor health.. Touched moon but neighbours unknown.. High income but less peace of mind.. Lots of...
Zoezi la kuwakamata wahamiaji haramu Dar limemkwepa Askofu Mkombo ambaye licha ya kwamaba ni mhamiaji haramu lakini amefoji cheti cha kuzaliwa na kufijo passpoti mda mfupi baada ya kumuoa...
Korosho mbichi kwenye Supermarket ni 18000 hadi 22,000 Tshs kwa kilo
Hii ni Korosho iliyo banguliwa
Waziri alitoa ushauri Mzuri kuwa Watanzania wale Korosho maana zina Afya, Tatizo lipo kwenye...
Ndugu wana JF nawasalimu na baada ya salama nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yenyewe najua watu wengi hawafahamu kuhusiana na sheria mpya ya mambo ya mifuko ya lambo au plastic tiririka nayo...
MDOMO :
1. Ukipiga domo vizuri ukawa mwanasiasa mzuri , unashika nafasi ya juu na kupata pesa ndani ya muda mfupi.Huhitaji GPA or misuli ;
2. Ukiongea na mtu mwenye fursa vzr , unapiga hela...
Mmiliki wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi ameeleza jinsi alivyokutana na mlimbwende wa Tanzania mwaka 2001, Jacqueline Ntuyabaliwe maarufu K-Lynn kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza...
Habari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa...
Kuna kitu hapa wanaume au kina baba hawatakiwi kukichukulia poa, nilelewa na kukulia kwenye familia ya wazazi wote wawili lkn mama ndio alikuwa kila kitu pale home namshukuru Mungu na mzee yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.