Ukizingatia kwamba hii ndio njia kuu ya kuingia jijini, ila ukiangalia huduma za msingi za kijamii zinazopatikana huu ukanda ni vichekesho!
Kimara hakuna maduka yeyote ya maana, hakuna malls...
Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini...
Yes kama ulivyosoma bei ya kumpa fundi bei ya kumpa bos ni tofauti kabisa.
Fanya utafiti kwanza kabla ya kununua mfano misumari boss kilo 4000 kwa fundi 2500 na kuendelea (huwez ambiwa kirahisi)...
Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x
Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp?
Watumiaji wengi...
Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati.
Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda.
Anakufikia dau...
Baada ya kusafiri mara kwa mara kwa safari ndefu ambazo zinahitaji “Two Drivers” huu ni ushauri wangu kwa LATRA kwa njia za
Dar - Mwanza
Dar - Bukoba
Dar - Tunduma
Dar - Kigoma
Dar - Mpanda
Na...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi.
Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake...
Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj.
Kinachonishangaza ni...
Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.
Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo...
Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na...
Elimu ni muhimu sana kwenye maisha mengine nje ajira
Kuna rafiki yangu kalipa deni la 4m kwa kwasababu alishindwa kujua kuna kitu kinaitwa bank statement kinaweza Kuthibitisha malipo yote
Lakini...
Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?
The upcoming opening of a Plaza Premium Lounge in Dar es Salaam marks long-term commitment to elevating Tanzania’s aviation, tourism, and travel ecosystem.
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni...
1 Timotheo 2:9
9 Kadhalika, nataka wanawake wajipambe kwa heshima na kwa busara. Mavazi yao yawe nadhifu, si kwa kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu na mavazi ya gharama kubwa,
na hili...
BINTI ATOKA KIGOMA ADAI KUVULIWA NGUO NA KUCHOMWA PASI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE ARUSHA
Binti anayetokea mkoani Kigoma amedai kufanyiwa ukatili mkubwa na mwajiri wake, Nema Mushi, mkazi wa...
Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu??
Kama kichwa cha habari nasikitika sana kuona vijana wanaisha kwasababu ya kukosa...
Madhara ya kula ugali kupita kiasi:
Ongezeko la uzito – ugali una wanga mwingi (calories nyingi), hivyo kula kwa wingi bila mazoezi kunaweza kusababisha unene.
Sukari kwenye damu – ugali una...