Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600. Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa...
2 Reactions
46 Replies
802 Views
Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na...
2 Reactions
8 Replies
99 Views
Wakati Madame President, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaingia ikulu alikuta mtangulizi wake Hayati John Pombe Magufuli akiwa kapiga hatua nzuri ila nchi ilikuwa na mzigo wa kuhudumia project...
2 Reactions
6 Replies
149 Views
Hao watu hawapo ofisini na wametajwa kwa majina yao na sio ofisi zao na mbaya zaidi nafasi zao tayar zipo na watu wengine ( VIFUNGU VINASEMAJE UKO?)
0 Reactions
1 Replies
22 Views
1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka 2. Chumvi ya bahari...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i Imenisaidia...
76 Reactions
266 Replies
26K Views
Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi...
1 Reactions
2 Replies
50 Views
Ukiangalia picha za Chengdu, unaweza kudhani kinachoifanya iwe modern ni skyscrapers na majengo yake marefu pekee. Lakini modernity ya Chengdu iko zaidi kwenye mfumo wa jiji kuliko majengo...
7 Reactions
22 Replies
257 Views
1.kumbe kunatofauti kati ya ujasusi na upelelezi 2.Unaweza kumgeza mshtaki wako kua shahi wako ila unatakiwa uwe mtaalam wa vifungu 3.Shahidi usipotii wito wa mahakama unatakiwa kukamatwa
5 Reactions
17 Replies
306 Views
Habari wana JamiiForums, Naomba msaada kufahamu zilipo ofisi za Baraza la Wataalamu wa Kemia Tanzania (Chemist Professionals’ Council). Nahitaji kujisajili kama Registered Chemist. Kama kuna...
1 Reactions
30 Replies
219 Views
Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo...
12 Reactions
35 Replies
578 Views
MUNGU HUWAINUA WANYENYEKEVU 1. Wimbo wa Hana (1 Samweli 2:1-10) Hii ndiyo tenzi kamili inayoanzia kwa maneno uliyotaja "Moyo wangu wamshangilia BWANA" . Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo...
2 Reactions
13 Replies
174 Views
Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika. Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika...
11 Reactions
39 Replies
589 Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto) Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie. Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utusikie. – Kristo...
13 Reactions
73 Replies
440 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…