Katika Sheria ya Musa kwenye Biblia (Kumbukumbu la Torati 14:26), Waisraeli waliambiwa kutumia fedha za fungu lao la kumi kununua chochote kilichotamaniwa na roho zao, kutia ndani ng'ombe, kondoo...
Inasemekana Majambazi yakiwa na bunduki yamevamia maduka ya fedha maarufu kama M pesa na kupora mamilioni ya fedha.
Tukio hili limetokea Katoro hapo jana siku ya tar 10 majira ya saa mbili usiku...
Wakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini
Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara
Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....!
Je huwa inasababishwa na nini?
NIJUZENI..!
KILO MOJA YA NYAMA INAWEZA KUWA KILO MOJA KWENYE MIZANI, LAKINI SIYO KWENYE UZITO HALISI?
Kuna jambo nimeanza kulifikiria sana kuhusu biashara ya nyama jijini Dar es Salaam.
Sijafanya utafiti...
Wanabodi,
Kila asubuhi, kabla ya jua kuchomoza na kabla ya wengi kukurupuka kutoka vitandani mwao, kuna mikono inayowasha jiko, kuandaa chai, na kusafisha nyumba. Hii ni mikono ya mabinti na...
Habarini! Wakuu natumaini humu wote ni wazima wa afya, jamani mwenzenu napitia nyakati ngumu sana kiasi nahisi hapa ndio mwisho wa maisha yangu.
Iko hivi nikiwa na miaka kumi na tatu nilifanyiwa...
Huwa najiuliza maswali mengi, kwa ufahamu wangu mdogo najua salamu ni kujuliana hali baina ya watu
Ila napata mkanganyiko kwenye salamu kwa kutumia neno shikamoo maana naona halina maana ya kujua...
Nimejaribu kutumia lugha nyepesi bado nimeona haileti maana kamili.
Mtu anayetapeliwa online huyo hana akili timamu
Mtu ambaye naweza kumuondoa hapa ni yule tu ambaye hajafika form 4. Huyu...
🔥 USB FAST CHARGER – 12 PORTS 🔥
⚡ Chaji simu nyingi kwa wakati mmoja!
🔌 6× USB Fast Charging
🔋 6× Type-C PD
🚀 Data Transfer kwa kasi ya ajabu!
⚡ Fast Charging kwa simu na vifaa mbalimbali
🏠 Inafaa...
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45...
Kumekuwa na unyanyasaji katika ukamataji wa pikipiki mkoani Njombe, Maafisa wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamekosa utu na wamekuwa wakiomba hela kwa wanaowakamata ili waweze...
Wakuu hivi kweli ni haki?
Katika kila taarifa ninayo kutana nayo au kuisikia kuhusu mapacha walio ungana kutenganishwa ni kweli madaktari huwa wanafanikiwa katika jukumu hilo la kuwatenganisha...
Watengeneza maudhui kutoka Uingereza, Em na Sam, wamekamilisha safari ya aina yake kutoka London hadi Nairobi, Kenya wakitumia gari kwa siku 222 na kusafiri umbali wa takribani kilomita 23,000...
MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA
Barabara ya Mbeya–Tunduma
12 Agosti 2026
Kwa:
Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani
S.L.P 260
Mbeya
YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE...
Unawezaje kuridhiana na gaidi katili asiye na huruma aliyeamuru maelfu ya watu kuuawa? Hilo halipo. Kwakifupi HAKUNA KURIDHIANA NA MAGAIDI. Nilazimamagaidi yote yapate haki yao ili nchi iwe...
Wakuu salamu,
Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka...
Sintofahamu imeibuka katika Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokon One jijini Arusha, siku moja baada ya mazishi ya Gervas Jackson, baada ya ndugu wa marehemu kuanza kuhoji kuhusu mali na fedha...
Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana ...