Hivi hivi karibuni, tumeshuhudia operation kubwa ya kiudhibiti wa ubora na usalama wa vinywaji nchini Rwanda lililozua gumzo kubwa Afrika Mashariki. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha zaidi ni...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imebatilisha tangazo lililowataka waendesha bodaboda, bajaji na maguta kulipa ada ya maegesho ya Sh100,000 kwa miezi sita au Sh180,000 kwa mwaka, huku baadhi...
Aliyekuwa Mfanyakazi wa Nyumbani Jijini Mwanza, Faima Yasin Twaibu (17), ameachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Mwanza, baada ya shauri la jinai lililokuwa likimkabili kufutwa...
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔
Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka...
Kupata kazi kwenye meli za kitalii inaweza kuwa fursa nzuri kwa wale wanaopenda kusafiri na kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa. Ili kufanikiwa kupata kazi kwenye meli za kitalii, unaweza...
Habari. Mimi ni Mkazi wa Jijini Tanga, kata ya Pongwe.
Nimelipa huduma ya kuungiwa Maji tangu tarehe 23 Aprili, 2026 lakini hadi sasa sijaungiwa huduma hii.
Kuna watu wamelipa mwezi wa Juni...
Salaam Wakuu,
Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Rais ndo...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu.
Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza.
Hata kama...
As salaam alaykum.
Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata...
Mlokole mwenzangu sikiliza!
1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya...
Najihusisha na Uwakala wa nishati ya gesi ya kupikia, ipo hivi... kumekuwa na changamoto ya mitungi mingi inakuja kwetu Mawakala ikiwa na leakage yaani inavujisha gesi na ukiwarudisha kwa Wakala...
Everybody knows north hakuna boya kwenye angle yoyote ile.
Vijana wa kaskazini wako mbele ya muda sana.
Siku tz ikipitia kwa kijana yoyote mwenye DNA ya north mabadiliko yataanzia hapo...
Wakuu, nadhani mmeona Taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia barua ya Agosti 6, 2026, ikizungumzia Maboresho ya Kanuni za Fedha za Kigeni kupitia Tangazo la Serikali (GN) Na. 206 la mwaka...
China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani
Iko hivi: Kwa...