Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Taasisi ya RITA kupitia mfumo wao wa eRITA wameshindwa kutatua changamoto ya portal yao? Na wanajinasibu raia ajihudumie kupitia portal na mfumo wao haukubali kufuta baadhi ya attachment...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix...
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Wakuu ni mambo gani unapaswa kuzingatia ukitaka kufanya maamuzi magumu Kwenye kazi Mahusiano Biashara nk?
2 Reactions
11 Replies
201 Views
Tuwe na siku njema
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga...
42 Reactions
182 Replies
23K Views
Habarini za muda huu... Hii ni mada yangu ya kwanza kabisa kwa mwaka huu wa 2019..... Ni siku ya kwanza ya mwaka huu mpya! Tarehe 1.1.2019... Jana usiku dakika chache kabla ya kuuaga mwaka 2018...
33 Reactions
87 Replies
15K Views
Falme za Kiarabu UAE zimekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha matumizi mapya ya dawa ya RINVOQ, katika kutibu vitiligo isiyo ya segmenti, ugonjwa wa ngozi unaosababisha baadhi ya maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Kuota unashuhudia mazishi yako mwenyewe ni ishara ya wazi kuwa umenaswa kwenye rada za ulimwengu wa uchawi, ambapo wachawi na washirikina wanatumia madhabahu zao za giza kuratibu ukomo wa maisha...
8 Reactions
51 Replies
804 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kero kuhusu kucheleweshwa kwa mchakato wa usajili wa hati ya nyumba ya marehemu katika Ofisi ya Usajili wa Hati, Wizara ya Ardhi. Mimi ni msimamizi wa mirathi ya marehemu baba...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Cha kwake kwake na cha kwangu anataka tukimiliki wote.....akiwa ameshiba atatoa kashfa na kejeli kama zote, na akiwa na njaa anajifanya mpole na kuongea sauti ya huruma, ukimpa msaada ni wiki moja...
3 Reactions
14 Replies
124 Views
Anonymous
Eneo la Mazimbu Road, Morogoro, katika barabara kuu ya Dodoma, limekuwa na changamoto ya zebra za kuvukia barabara kufutika. Eneo hilo hutumiwa na wananchi wengi, hasa wanaotokea au kuelekea...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Anonymous
Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga, na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR). Tenda hiyo inahusisha...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Ndugu wanajamii, Leo nasimama mbele yenu kuzungumzia jambo linalowagusa moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Suala hili ni la msingi...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Tazama taharuki iliyotokea baada ya kukutwa chupa zaidi ya 2,000 za mikojo ndani kwa Mama Ntilie. Je, hii ni uchawi, au kuna sababu nyingine nyuma ya tukio hili la kushangaza?
6 Reactions
49 Replies
906 Views
Nikiwa kama mdau wa sekta ya Korosho hapa nchini, ambaye nimezaliwa na kulelewa kwa zao hili la Korosho, kwa maoni yangu tunapaswa kuheshimu hatua kubwa inayopigwa katika kusimamiwa na kuendelezwa...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imewakumbusha Jamii juu ya umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji ili kujenga jumuiya inayothamini huduma ya Maji kwa vizazi vya...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Shuhudia namna Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, alivyokagua daraja la Goloka B, lililopo kata ya Toangoma, lililojengwa kwa fedha za wananchi shilingi milioni 21, ili kuondoa adha...
3 Reactions
20 Replies
418 Views
Watu wanajiamulia bei tuu? Hawana namba ya kuripoti daladala?
2 Reactions
0 Replies
48 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…