Mfumo wa self registration eRITA unasumbua.

Mfumo wa self registration eRITA unasumbua.

Ibratz96_

New Member
Joined
Aug 17, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Habari, Taasisi ya RITA kupitia mfumo wao wa eRITA wameshindwa kutatua changamoto ya portal yao? Na wanajinasibu raia ajihudumie kupitia portal na mfumo wao haukubali kufuta baadhi ya attachment wanazotaka ubadilishe nini maana yake?

Kama Kuna utaratibu mwingine ni vyema wakatangaza kwa wananchi Kuna huduma zina stack kwasababu ya uzembe toka taasisi husika

inbound1354344473471145191.png
 
Back
Top Bottom