Gen z amemtukana mzazi wake

Gen z amemtukana mzazi wake

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,754
Reaction score
18,776
Iko hv Jana Niko na fundi wangu ambe ni mtaalmu wa plaster na tiles bas nikamuuliza vip yule kijana ako yuk wapi sas hv anasoma wapi alikuja kupata chuo gani? ndio akanijibu' yule kijana ni mpumbavu sna' mm nimemuacha apqmbane na maisha amenitukana nikammzuza na mm

Akaendeleaa akasema alinitukana aliniambia Sina akili 'baba huna akili ' sijui mzee alikuwa anamuelekeza nn ndio akatoa majibu hayo yalio mfanya mzee wake kumzusa mwanae na mpango WA chuo akaaacha nae dogo alikuwa anatakiwa kusoma engineering DIT ila mzee akakataa kumpa sapoti hadi hapo atakapo omba msamahaa dogo amaesusa kuomba msamaha Yuko zake mtaani anapambna na vibarua

Gen punguzeni viburi
 
Asie funzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu 🐒
 
mkuu kwani ulikuwa unakimbilia wapi kipindi unaandika huu ujumbe....mbona ungetulia ungetuandikia kitu kimenyooka na ujumbe wako ungefika...!
Hana haraka huyo ndo huwa anaandika hivyo...
Ni mrundi kiswahili kwake ni kigumu...kumsuza ni kumsusa😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom