Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

😀😀😀 Huyu mtangazaji atafutiwe vipindi vinavyomfaa, atakuja kufia kwenye mic. Apewe kipindi cha taarabu
3 Reactions
3 Replies
131 Views
Copper Mines For Sale 📍Location - Kitati, Mpwapwa, Dodoma ✅Laboratory Result is Coming from 1.2% To 3.7% and mined around 2000 Tons open Pit. ✅Vein Report is 18.5% ✅Full Documents with CSR...
1 Reactions
1 Replies
59 Views
Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa...
2 Reactions
18 Replies
300 Views
Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo. Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila...
41 Reactions
219 Replies
2K Views
Anonymous
Hapa ni Dodoma eneo la Miganga East, Kata ya Mkonze, hivi Serikali imetusahau sana! Hakuna barabara hata maji nyumba zilizo nyingi hazina kabisa! Imefika sehem wananchi tunaanza tunaambiwa Bomba...
2 Reactions
4 Replies
86 Views
Kuna mwanasheria mmoja aliwahi kuniambia kuwa uwapo Mahakamani hasa kwa Kesi zenye Hisia kubwa kama Mtuhumiwa yakupasa uwe makini mno na 'Body Language' yako kwani hii nayo ina nafasi kubwa mno...
4 Reactions
10 Replies
199 Views
Wanasheria naomba elimu kidogo Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini Najiuliza hawa watu...
2 Reactions
8 Replies
201 Views
Na kwa tunaojua vyema Saikolojia tunajua kuwa Wanadamu wote huwa wana Ukomo wao juu ya jambo fulani na kuna muda utafika watachoka na kukuacha peke yako uteseke huku Familia yako sasa ndiyo...
2 Reactions
7 Replies
103 Views
Wanakwepa kodi ya serikali Hongera Albert Msando na Albert Chalamila .....
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Na ikitupendeza pale tunapokuwa free si vibaya tukiwa tunahudhuria Kesi mbalimbali ziwe ndogo au kubwa katika maeneo yetu ili angalau kuwa na ufahamu wa masuala mazima ya Kisheria. Asanteni sana.
1 Reactions
0 Replies
35 Views
Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri...
24 Reactions
110 Replies
2K Views
nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya. mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa. I'm out #Kisasi ni haki.
3 Reactions
1 Replies
44 Views
Kanisa la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na...
2 Reactions
2 Replies
115 Views
Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna...
0 Reactions
9 Replies
333 Views
Kuna stage katika maisha, universe itakupitisha katika tanuri la moto ili tu ikuamshe. Yaani utaona kama Mungu alikosea kukuumba ilihali amekufanya wa tofauti ili uje uje utimize mambo makubwa...
23 Reactions
124 Replies
1K Views
Nahisi hamjambo Shidayangu nataka mniambie nifanyeje ili tatizolangu liishe kabisa nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla.nikila tu kama dakika tano maumivu yote...
4 Reactions
34 Replies
338 Views
Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo...
14 Reactions
119 Replies
1K Views
Back
Top Bottom