HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa akili amechoma moto kwa jengo la zamani la Mahakama ya Mwanzo Moshi, mkoani Kilimanjaro, na kusababisha vyumba vinane (8), nyaraka za...
Ipo hivi 😑😑
Taarifa za awali za habari hazikusema jambo moja muhimu kuhusiana na ajali hiyo: Mmoja wa waliokufa hakuwa mtalii. Jina lake lilikuwa Michele Sensi-Contugi Ycaza.
Kwa Wakenya wengi...
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani...
Kundi Masanja, mtoto wa kwanza wa mzee Masanja (mmiliki wa hoteli za Mw na Christmas Tree), anaelezea jinsi yeye na mdogo wake walivyozuiliwa na mama yao wa kambo kumuona baba yao mgonjwa...
Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026.
Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia...
Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu.
Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili...
Wananchi wa Miembeni, Mtaa wa Msituni, tunakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya ukusanyaji taka katika eneo letu. Hali hii imepelekea baadhi ya wananchi kutupa taka ovyo, ikiwemo...
Wale ambao wamekesha wakilalamika kutokupatikana kwa huduma ya salary advance sasa imerejea Kuna mdau wa jamii forum amenitonya DM baada ya Uzi wangu wakuwaomba wadau kutatua tatizo la salary...
Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy
https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_
Kina...
Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5.
Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi...
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Alfan Mrisho Kikwete ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akifanya mazoezi makali ya gym.
Mstaafu huyo mwenye miaka 75 lakini anaonekana kama ana miaka...
Mwenye pesa ndio huamua muelekeo mzima wa perception, hata kama wewe ndio unaye onewa utaishiwa kuitwa msumbufu na usie na shukurani
Kama wewe ni mnene mfupi kifutu na unapesa wadada watakuita...
Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa baada ya mlima wa taka kuporomoka na kuangukia nyumba zilizokuwa karibu katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, kufuatia mvua kubwa...
WANAWAKE FANYENI KAZI. MAMBO YA KUSINGIZIA MNAZAA NI KISINGIZIO CHA KIZAMANI KILICHOPITWA NA WAKATI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti na dada zangu embu msilete visingizio vya kizamani...
Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.