Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Sio kwamba siwaoni vijana wa kiume omba walio jazana kila kona . Ila taifa leo lina omba omba wanawake , kwa kigezo cha mapenzi zaidi ya wakoma, halafu wanaona ni kawaida tu wala hawana aibu🤔...
4 Reactions
– Replies
– Views
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe...
12 Reactions
38 Replies
398 Views
Kuna jiji au manispaa ina park au sehemu ambayo mtu anaweza kwenda na kupata internet ya bure?
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka Agosti, 2026 ameendelea kuwafikia Vijana wa Kitanzania safari hii akitia nanga katika Kijiji cha Makunda, Mkoani Singida...
1 Reactions
2 Replies
85 Views
Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha. Mambo...
70 Reactions
176 Replies
13K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio...
2 Reactions
21 Replies
694 Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa...
1 Reactions
2 Replies
79 Views
Kwema-story ya kweli ambayo imenihusu moja Kwa moja na inaniumiza akili mpaka leo 2026 nikimuona jamaa akiwa chizi, cha ajabu akiniona ananifurahia na kutaka tukae tupige story Moderata-kichwa...
13 Reactions
25 Replies
689 Views
🔊 UNABII WA MWEZI WA 8 Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa...
15 Reactions
85 Replies
2K Views
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua. Kila...
19 Reactions
32 Replies
1K Views
Kabla ya tukio la Nchimbi kujiuzulu kutokea , walikuja jamaa wawili hapa kuleta za ndani kua Nini kitatokea, Mto wa mbu na britanicca, lakini hawa watetezi wa serikali walibisha sana, na kwa reply...
18 Reactions
29 Replies
533 Views
Kwa kweli kuna watu hawana ustaarabu kabisa. Unawezaje kuzungumzia maisha ya watu wengine hadharani, bila hata kujali faragha yao, tena ukiwa kwenye usafiri wa umma? Hujui hata kama mmoja wa...
2 Reactions
5 Replies
261 Views
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amehoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru, akisema ahadi hiyo ilitolewa na...
1 Reactions
0 Replies
84 Views
26 Agosti 2026 Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lembrus Mchome, anadaiwa kukabiliwa na hatua zaidi za kinidhamu ndani ya chama hicho, baada ya viongozi kujadili uwezekano wa...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki. Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe. Binafsi mtu...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Joyce Banda alianza kuolewa na Mr Kachale na kuzaa naye Watoto watatu na alipokuwa Kenya aliolewa na Richard Banda wakati Ndoa ya Kwanza inaendelea na hivyo kuzua utata Kwa Mwanamke Mmoja kuolewa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wanaJF leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa , kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa...
0 Reactions
9 Replies
130 Views
Kwa jamii ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila kuwa na uhakika wa upatikanaji wa maji safi na salama, kupata kituo cha maji ya kutosha kunaweza kubadilisha kwa kiasi kikubwa maisha ya kila siku...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…