Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani
Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi...
Naendelea kukisoma hiki kitabu 48 Laws of Power by Robert Greene
Law 1
Never Outshine the Master
Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them...
Dk Elizabeth Sanga
Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai...
Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na...
Habari ya mjini sasa hivi ni kesi ya Mheshimiwa Lissu huko kwq pilato
Wengi tunafuatilia hii kesi,na tunaona minyukano ya maswali,wakati mwingine unaweza hata kujiuliza hivi haya maswali yana...
WaTanganyika asilia tunajuana, huyu mteule mpya nae ni wakwao kutoka jamii ya wasio na vichogo.
Wote ni mashahidi wa namna kichwa chake flat kama tofali za kuchoma kinavyo msaliti.
Bibi katushika...
Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Hamis Ulega, amesema jumla ya Shilingi bilioni 106 zimeingia moja kwa moja kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenda kwenye Mfuko wa Barabara katika kipindi cha...
Imeelezwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyepita, George Simbachawene, hausiki na wala hana akaunti yoyote katika Mtandao wa kijamii wa X (Twitter), hivyo Umma unapaswa kupuuza akaunti...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imetatua changamoto ya utiririshaji majitaka iliyotokea katika mtaa wa TPDC Mikocheni na kutoa elimu juu ya utunzaji na matumizi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema miongoni mwa sababu za mabasi kuelekezwa kuingia stendi ni sababu za kiusalama.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Agosti...
Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya...
Wakazi zaidi ya 200 kunufaika na maboresho hayo
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la uboreshaji wa miundombinu ya mabomba ya maji ili kuimarisha...
Wadau wa huduma za maji katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani wamekutana kujadili na kutoa maoni kuhusu maboresho ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar...
Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia.
Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by...
Mwanamuziki @beyonce Ameripotiwa Kuchangia dola milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.6/=) kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi huko Chocó, Colombia.
Fedha hizo zitatumika kusaidia watu walioathirika...
Ujenzi wa mtambo wa kuchakata majitaka Mbezi Beach, uliopo Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 80 na hivyo kuwa mbioni kukamilika. Mradi huo wa mfano na wa kipekee nchini...
TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia...
Wakuu, kutoka kwa mdau.
Na Emily Mwakilembe
Baraza la Mawaziri linaenda kufumuliwa lote, kuondoa mabaki na kufuta nyayo zake. Si unajua huyu Bwana ni jasusi? Lazima akiacha mayai kwenye mfumo! 😄...