Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wenye kumbukumbu nani aliwakilisha NCHI je alitoboa? najua ACACIA walitumia mawakili wazungu bila shaka
0 Reactions
2 Replies
117 Views
TAARIFA KWA UMMA MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026 Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu...
1 Reactions
11 Replies
288 Views
Eti mtu anaandika allah ndio amemuadhibu nchimbi kutoka madarakani kwa hio sasa huyo allah chama chake ni vegetable ndio maana haoni wengine wa kuadhibu humo? Umasikini ni mzigo haswa wa ufahamu...
2 Reactions
4 Replies
91 Views
Mungu ana miujiza yake bana kama mama alivyo pata hata DEO anaweza jiokotea embe dodo
4 Reactions
13 Replies
264 Views
Ebu nipe location yako chap Nifike hapo tuuweke mkono chini , zipigwe mtu bee pasipo Allah kuingilia, na hii battle ni bila sababu ya msingi zaidi ya mim kuwatamani tu wanetu. Jana usiku wa...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea...
1 Reactions
4 Replies
133 Views
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi. Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa...
8 Reactions
18 Replies
492 Views
We are the people. We are the taxpayers. We are the voters. We are the citizens. AM NOT GOING TO PRETEND EVERYTHING IS NORMAL?! 😡 And yes, I love Tanzania. ❤️🇹🇿 THAT is exactly why this shit...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Kabudi ? Hapana Huyo hapana Mpe frani - sawa Frani ndye na ndye kawa Ana minagap? Ana udhoefu kias gan serkalini ? Kwa Nini iwe hivyo Mimi na wewe hatujui Kwa waliocheza last card...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
MTU mkubwa mwenye msingi ndani ya chama kama yeye inamaana hakuwa na :. Wadau wakumtonya kinachoendelea Kuona hatari inayomkabili mbele yake kutokana na misimamo yake Kunusa harufu ya lile...
2 Reactions
3 Replies
132 Views
Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameamuru bendera za Marekani kote nchini humo zishushwe hadi nusu mlingoti kwa kipindi cha wiki moja, kwa heshima ya gwiji wa muziki wa country, Dolly Parton...
3 Reactions
6 Replies
181 Views
Wananzengo poleni kwa kazi na mawazo yasiyo na majibu waliofanikiwa ku submit wazo bunifu je! Kwako lomedikia wapi? Mimi naona bado lipo kwenye sijui screened
0 Reactions
2 Replies
107 Views
Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza...
2 Reactions
0 Replies
134 Views
Ni wazi sasa CCM ni dude kubwa kwa kilugha "POSEIDON" Deogratius Ndenjembi kaula aisee nabubujikwa na machozi ya furaha huyu jamaa nilisoma naye
2 Reactions
5 Replies
183 Views
Katuga: haya maswali hayana nia yoyote mbaya si ndio Kaka angu? Mhe. Lissu: Umenishtaki kwa uhaini unasema maswali yako hayana nia yoyote. Wewe vipi wewe? Watu wanacheka. Hahahahaaaaa...
3 Reactions
4 Replies
292 Views
Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba. Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti. Tuweni wapole , muda utazungumza . Mungu atuvushe salama kwenye hichi...
4 Reactions
17 Replies
332 Views
Anonymous
Imekuwa ni kawaida sasa nchini Tanzania kwa taasisi binafsi na za kiserikali kutangaza mashindano tofauti tofauti yakiambatana na zawadi watakazopewa washindi na mwishowe kuingia ‘mitini’ bila...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Back
Top Bottom