Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je umewahi kusoma ahadi hizi? Ahadi za Tanganyika African National Union (TANU) 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi...
0 Reactions
3 Replies
75 Views
"""Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya;,,,, watapanda juu kwa mbawa kama tai;,,, watapipiga mbio wala hawatachoka;,,,, watakwenda kwa miguu,,, wala hawatazimia""" Isaya 40:31...
14 Reactions
173 Replies
1K Views
Kama ni 1st time kiongoz kutumia JF lazima utajua huu ni mtandao wa chama cha upinzani hasa CDM au mtandao wa kiarakati maana uku watu wanapinga serikali na chama chake tena kwaruga...
6 Reactions
10 Replies
162 Views
Hakika Mungu kaipendelea Tanzania. Valentina Gabriel jina lake, almaaruf Vale Nafaka a girl with an extra ordinary, natural and undisputed beauty. Who makes heads turn and pulses run fast. God...
4 Reactions
22 Replies
621 Views
Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery . Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
6 Reactions
10 Replies
419 Views
Anonymous
Salaam Wana JF Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na...
0 Reactions
4 Replies
216 Views
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa...
2 Reactions
4 Replies
120 Views
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo...
8 Reactions
6 Replies
159 Views
Habari za Sabato! Leo huko Tiktok, instagram, na Facebook habari kuu ni mabaharia waliorudishwa kutoka South Afrika. Aiseeh! Uwanja wa comments watu wanamwaga upupu sio poa. Kejeli Dhihaka...
4 Reactions
11 Replies
205 Views
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza...
2 Reactions
6 Replies
500 Views
2 Wakorintho 5:17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Matunda ya kumpokea Yesu kristo na Yesu kristo akawa anaishi ndani yako...
11 Reactions
8 Replies
182 Views
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Chimbuko la ubatizo wa maji mengi Yesu alisema hivi: "Amini, Amin, nakuambia mtu asipozaliwa kwa maji na kwa roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu" (Yohana 3:5). Kuhusu ubatizo, ni muhimu kufahamu...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi? Swali: Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya kumwamini YESU? Katika kitabu cha Yohana 3:18 na 3:36, Neno la Mungu linasema: "...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine Maandiko, katika kitabu cha Ufunuo 3:14, yanasema, kama ifuatavyo: “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye...
2 Reactions
5 Replies
251 Views
Hai make sense kabisa mnyonge anaonewa na kuteseka na aliebakiza nguvu ya maombi kama tumaini lake abaki kuteseka huku mtesaji wake ambae hajawahi kupiga hata goti anaendelea kuneemeka yeye na...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima...
3 Reactions
18 Replies
306 Views
"Ninaitwa Eza Ashindikene. Kwa sasa ninaishi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga. Mwaka 2025, wakati wa uchaguzi Mkuu Tanzania, nilipata nafasi ya kuandika nyimbo kama msanii kwa ajili ya kuunga...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM. Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily? Uwinga saivi...
2 Reactions
8 Replies
135 Views
What do you,thought?..labda maisha yatakuwa sawa na bora kwa kila mwafrika...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…