Wananchi wa Kijiji cha Kihangaiko, Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kupata fidia ya ardhi yetu iliyochukuliwa kwa ajili ya shughuli za Shule ya Kijeshi ya...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada...
Mdo 23:11 SUV
[11] Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako...
Baada ya miaka 30,hatimaye keefs d David akutwa na hatia katika mauaji ya Tupac Shakur!...
Hakupiga risasi au kuumiza lakini alipanga,na ikatekelezwa!...
Kila jambo huanza na mpango kazi kwanza...
Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local...
Ndugu Mshana Jr naomba kuuliza kaka Yangu.
Mimi by proffesional ni dereva
Class A B D na E
Nataka kujifunza lugha ya kichina ili kutumia Lugha kupata pesa zaidi.
Je nikisema nataka kuwekeza...
Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi.
Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali...
Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani.
ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani.
Singapore,dubai na...
Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu...
Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul.
Mwili na akili vyote hushindwa kupata...
Eti mtu anakudanganya kuwa aliacha kazi ili achome mahindi kweli?
Kuna mwingine aliwahi kutudanganya eti aliacha kazi world bank ili akalime matikiti.
Hawa jamaa huwa wanapata faida gani...
Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imesema kuwa asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofika kwa ajili ya vipimo na uchunguzi wa saratani ya matiti hugundulika wakiwa tayari wamepata uvimbe, hali...
Kupitia ukurasa wake facebook, Askofu Benson Bagonza ameandika
MALISA HAKUJIFICHA; ASIFICHWE
Godlisten Malisa huwa hafichi maoni yake. Hafichi upendo na huruma yake kwa watu wote. Lakini pia...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inautangazia Umma kuhusu fursa tano (5) za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa ajili ya masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Ubunifu (Master of...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inapenda kuutaarifu Umma kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki...
TANESCO
Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi...