Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 660
- 589
Tarehe 31 Agosti,2024
Rais Samia alihudhuria na kutoa hotuba katika Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma Qur'an Tukufu kwa Wasichana, yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Alisisitiza umuhimu wa taasisi za dini katika kulinda familia, malezi na maadili ya Taifa. Pia alisisitiza umuhimu wa elimu ya dini kwa watoto na wanawake.