Jeshi la zimamoto na uokoaji ni moja ya Idara iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani ikijumuisha jeshi la polisi na jeshi la magereza,
Jeshi hili ni mahususi katika shughuli za kukabiliana na...
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.
Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake...
Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana...
Kwangu mimi, hii ni moja ya changamoto kubwa sana kwa wasomi wengi siku hizi.
Nimetumia mfano wa kocha na mchezaji kwa sababu ili uwe kocha mzuri, mara nyingi unatakiwa kwanza kupitia level ya...
Kauli hii inatoka katika Wafilipi 2:3 inayosema: "Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake."
Maana ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya...
Matukio ya ukatili wa kingono yanaendelea kuripotiwa nchini huku baadhi ya kesi zikihusisha watoto wadogo.
Leo, Septemba 2,2026, jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata kijana mwenye...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawajulisha kuwa, kesho tarehe 03 Septemba 2026, Watanzania 200 waliokuwa wakiiishi Jijini Cape Town nchini Afrika...
Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata maji taka, unaotajwa kuwa miongoni mwa mitambo mikubwa ya aina hiyo katika Ukanda wa Afrika Mashariki, umefikia asilimia 99. Pamoja na vituo vya kusukuma...
Wasanii ni jeuri na kuna ambao waliapa waziwazi hawawezi kurudi kwa wananchi kuwaomba msamaha kama wananchi wana jeuri basi wasusie kazi zao au show zao .
Wananchi kweli mwanzoni walitikisa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mfumo wa Fahamu Muhimbili (MOI) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kisasa, ikiwemo ujenzi wa majengo mapya ya OPD, huduma kwa wagonjwa binafsi na wa kimataifa...
KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA
Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa...
I kept coming back to two lines that seem to say the same thing.
One is clean and modern: "I donβt owe anyone an explanation."
The other is harsher: "A bee doesnβt waste its time trying to prove...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara...