TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi...
Ofisi za Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha waweka huduma ya choo lakini ni ya kulipia hata kwa abiria, unapaswa kulipia Shilingi 300 hata kama una tiketi.
Jambo hili lipo pia katika...
Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea.
Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia...
Hali ya maji taka yanayotiririka barabarani katika maeneo ya Likoma Street na Masasi Street, Kariakoo – Dar es Salaam.
Kwa sasa ni siku kadhaa hali imekuwa hivyo, yanatiririka barabarani, hali...
Kumekuwa na tatizo la umeme Wilaya ya Chunya kwa zaidi ya mwaka sasa, kila siku zinavyokwenda linaongezeka, hatupati umeme unaostahili na tukipiga simu huduma kwa wateja tunaambiwa ni tatizo la...
Waumini zaidi ya 50 wa huduma ya Fellowship Tanzania (HUFETA) wanadaiwa kuvamia na kuvunja ukuta wa ukumbi uliopo mtaa wa mwanyanje, kata ya igawilo jijini mbeya, katika mgogoro unaohusisha...
Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje?
Anapoandika...
Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu.
Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana...
Kuna hii hali ya kuto tembea na cash kabisa yaan mambo yote una maliza na lipa namba au kumtumia mtu hela kwenye simu
Na hii kwa upande wangu ime nisaidia sana maana nilikuwa naangusha sana hela...
Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na...
Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia...
Enyi Wakiristo huu ni muda muafaka kuirejea dini ya. Haki ambayo ni Uislamu. Soma kisa hiki uone ushahidi kimaandiko wa Mkuu wa Makuhani wa wa kiyah aliyeamua kuslimu now kumuamini Mohamed...
Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu...
Yesu alifanya huduma yake hadharani (public ministry). Sasa haya matokeo ya mama yake yaliyoripotiwa kwa nini ni ya kusiri (private) tu kiasi cha kuligharimu kamisa katoliki miaka kadhaa ya...
Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo.
Wanachojiuliza ni kwamba...
Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu...
Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu...
Habari za muda huu wana-JamiiForums,
Kuna wakati unakaa na kutafakari jinsi maisha yalivyobadilika kwa kasi sana hasa kwa sisi tuliobahatika kuzaliwa na kukulia katika miaka ya 1970, 1980, na...